Bob Lee Swagger
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 1,362
- 519
Hahahahaha! Hiki kichekesho au? Lol! Mi nimegundua watu wenye vitambi wanapenda sana kula kula.
Hii napinga. Maumbile ya mtu hayana mahusiano na tabia yake. Mbona sisi wapare wengi wetu ni wafupi lakini si wote wabishi; kwa ubishi nasikia wa......ndio wanaongoza?
Inaonekana kakukuna na umeonyesha hasira.
halafu inaonesha jamaa ni mfupi. Kweli amekunuka vya kutosha.Inaonekana kakukuna na umeonyesha hasira.
biologically, tabia na/au muonekano(phenotype) wa mtu ni 40% mazingira na 60% kurithi! that remains true, until proven otherwise!
Kwa msingi huo then unachokiongea hakina mashiko.
Kujiamini na kutokujiamini wanasaikolojia wanasema inaletwa na jinsi mtu anavyokuwa handled anapokua anafundishwa vitu tofauti tofauti utotoni, kuanzia toilet training, which is believed to be the first actual training given to a child, hadi namna wanavyoku'treat katika kuhamasisha curiosity na leadership.
So hapo tena hoja yako haina mashiko.
Kimsingi hauwezi kutumia tabia za hao wafupi wachache, wasiojiamini na wanaopiga piga vifua na kunyanyua miguu wakati wanabishana kuongelea kuhusu tabia za wafupi wote kwa sababu issue ya tabia za binadamu iko very diverse.
Sijadeclare interest wakati naanza coz mimi sio mfupi:lol:...
nimekuwa nikutana na watu tofauti hapa na pale na kuna kitu nime-note
watu wafupi hasa wanaume hawajiamini halafu ni wabishi sana,wakiongea kama wanatetea kitu au wanagombana huwa wanapiga vifua halafu wananyanyua miguu kwa nyuma kama wanataka kuruka,jamani mlishaona hiyo?maumbile ya mtu yanaweza kuonyesha tabia yake?
kwikwikwikwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! hapo mie simo kabisa, la kwako hilo. Sasa usiombe wale waliokua kwenye maeneo wanakokunywa ulanzi. Eti inasemekana ulanzi unakuza maeneo