Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
HahaaaKweli unauzaga hizo simu au unadanganya mwisho wa mwezi inakuja Iphone XS Max nitakupatia babes au sio
kiukweli demu kama hajavutiwa na wewe ata umwambie nini ataona kama unampigia kelele...sasa mstari wa uhakika wa kuwanyaka hawa watoto iwe amevutiwa au ajavutiwa tafuta pesa alafu tanua we fanya matanuzi tuuh.. aisee watakuja kama kumbi kumbi wanavotoka shimoni ....wanawake huwa wanapenda masela wanaojua kuspend..Kutokana na tatizo la madomo zege kuongezeka nimeamua kujitolea tu ili kuokoa team kiumeni!
Hii inawahusu hata wale ambao hawawezi kumshawishi mwanamke amkubalie!
Hizi ni baadhi ya mbinu tu nakudondoshea hapa!
1:Ikumbukwe kwanza wanawake wengi wa kiafrica wana pupa na maisha na wanategemea papuchi ili kutoka kimaisha!sasa wewe mwanaume inabidi ujitahidi uwe na muonekano Fulani ya Pesa(muonekano huongeza uwezekano)ili mtoto ukimwambia wewe ni mwanasheria wa kujitegemea akuamini bila shaka!kwahiyo jitahidi sana mtoto wa kiume usinyoe kiduku!
2;Hakikisha unatembea na business card za uzushi uzushi hii ni kutokana kuwa kuna mademu unaweza kuwaachia business card wakakutafuta wenyewe!
3;Mwanamke usimuulize kama ana mtu ama yupo single cha msingi mwambie unataka kumtoa dinner KFC akikubali ni swala la wewe kujiongeza tu hapo hahitaji kutongoza tena
4;Kwa Mwanamke anajifanya ana tamaa sana wewe jifanye ni Gentleman na kumsomesha kuwa kwa vile umeajiriwa kila mwisho wa mwezi utampa nusu ya mshahara wako,akikubali unakula mzigo Mara tatu kisha una block!
Kwa sababu ya time narudi kumalizia hapo chini
Hehe .... Hivi hiyo sehemu unaweza kumpeleka mwanamke dinner kama mtoto wa high school?mwambie unataka kumtoa dinner KFC akikubali ni swala la wewe kujiongeza tu hapo hahitaji kutongoza tena
HahaaaaNgoja nikuitie baadhi ya madomo zege yaje apa yachukue ujuzi
KFC kuna bei za kiungwana mkuuHehe .... Hivi hiyo sehemu unaweza kumpeleka mwanamke dinner kama mtoto wa high school?
Au ndiyo tumezoea kutukuza?
Hahaaa!kumbe unashinda kijiweni tuMm kuna manzi nilimwambia nafanya kazi basi navyoombwa hela na pole za kutoka kazini hrhehe
Hapa hatuzungumzii mapenzi ya uongo na kweli hapa ni kuhusu jinsi yakupata papuchiSiku atayokukuta unafagia barabara ujue ndo mwisho wenu. Bora kuwa mkweli tu,utakaa nae kwa amani hata kama si kwa malengo lakini unakua free,acting wakati mwingine inaumbuaga
fanya kutupia namba yake nikusaidiebasi bana siku moja nilibahatisha kamshiko fulani nikamtokea demu kwa kumdanganya yakwanza nikala fresh ya pili kaja na chu***p mbili moja kafua kaacha nyingine kavaa siku yatatu kaja navikangakanga na viatu vingine kaviacha yaani tumeenda mpaka chumba kikawakama chake sasa zilivyoisha duuuu namwambia aje achukue mizigo yake kasusa