Maujanja ya fta channels

Maujanja ya fta channels

Mshumaaa

Senior Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
156
Reaction score
17
Wadau habari zenu kwa ujumla Channel ya Pakistani inaonekana inapatikana hapa Tanzania vizuri beam ndo inavyoonesha lakini nimetafuta mpaka nimebaki hoi ni zaidi ya siku tatu nimeambulia patupu nimetumia mbinu zangu
zoote hola. Naomba kwa anayefahamu maujanja mengine atupie hapa zenyewe zipo degree 38E C-ban








HIVYO NDO DISH LINATAKIWA LIKAE ILI ZIPATIKANE PAMOJA NA BEAM YAKE NDO HIYO
Mimi signal zilikuwa zinapanda zinaishia 69 dish likikaa kama hivyo kwa receiver ya mediacom 930Sasa mwenye maujanja mengine ayatupie hapa ili niweze kujaribu kuendelea kutafuta dish linatakiwa liwe angalau kuanzia cm 190 mimi nimejaribu mmpaka dish la cm 240 lakini nimezikosa sasa sijui nimekosea wapi? Wataalam naombeni mtiririke link Paksat 1R at 38.0°E - LyngSat Natanguliza shukrani. Wataalam tunaomba mtiririke
 
Mimi signal nilishawahi kuipata kama 35% lakini nikiscan ilikuwa haiingii nilitumia kimidiacom kinaitwa super siku nyingine nikajaribu na recever nyingine eurostar HD sikuipata tena, ila nasikia inatakiwa uwe na C band LNB yenye nguvu unaweza kufanikiwa au Jaribu single solution lnb.
 
pakistan wa nini cha kuangalia. Vip nikupe ya kukamata channel za afrikastani
 
hapa kuna chanel moja inaitwa PTV SPORT inaonyesha soccer hasa ligi ya england.
We waache tu hawaui kama mpira ni dili wanafikili tunataka tujifunze kuvuta unga!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom