Kwa maujanja ya free to air channel jamani

Kwa maujanja ya free to air channel jamani

Mshumaaa

Senior Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
156
Reaction score
17
Wadau habari zenu kwa ujumla Channel ya Pakistani inaonekana inapatikana hapa Tanzania vizuri beam ndo inavyoonesha lakini nimetafuta mpaka nimebaki hoi ni zaidi ya siku tatu nimeambulia patupu nimetumia mbinu zangu zote hola. Naomba kwa anayefahamu maujanja mengine atupie hapa zenyewe zipo degree 38E C-band.
Paki tv.pngC Band Coverage EIRP Pakisat.jpg
HIVYO NDO DISH LINATAKIWA LIKAE ILI ZIPATIKANE PAMOJA NA BEAM YAKE NDO HIYO

Mimi signal zilikuwa zinapanda zinaishia 69 dish likikaa kama hivyo kwa receiver ya mediacom 930
Sasa mwenye maujanja mengine ayatupie hapa ili niweze kujaribu kuendelea kutafuta dish linatakiwa liwe angalau kuanzia cm 190 mimi nimejaribu mmpaka dish la cm 240 lakini nimezikosa sasa sijui nimekosea wapi? Wataalam naombeni mtiririke link Paksat 1R at 38.0°E - LyngSat Natanguliza shukrani. Wataalam tunaomba mtiririke
 
Ina maana signal ya ptv umeipata mpaka 69% au sijakuelewa vizuri.
 
Ina maana signal ya ptv umeipata mpaka 69% au sijakuelewa vizuri.

Kwenye Receiver ya Mediacom 930 ya Korea huwa kuna mistari miwili mmoja wa Strength wa kijani wa juu na wa Quality wa chini huwa ni mwekundu kwa hiyo mstari nnaouzungumzia ni wa chini ambao hutokea tu baada ya kuunganisha Lnb kwa baadhi ya Receiver. Kwa hiyo ungetokea mstari wa Strength ningekuwa nimezipata.
 
hapo nimekuelewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom