Mauaji yanayoendelea Kibiti, Pwani: Maoni, Ushauri na Mapendekezo ya nini kifanyike ili kuyatokomeza

Mbaya zaidi wauwaji hawaonekani ili serikali ifanye hata mazungumzo nao.Chanzo ni siasa na wala sio kitu kingine ndio maana wanao lengwa ni watu wenyemafungamano na chama cha siasa ukichunguza vizuri utangundua hawa watu wengine (mapolisi na migambo) wamekuwa wakiuliwa baada ya kuingilia kati kusaidia upande wa siasa.
Ushauli wangu ni ile timu yetu ya Green Guide na yenyewe iingilie kati katika kuimarisha ulinzi wa viongozi wetu wa chama isiwe tu ni kakundi ka wakati wa vikao na kampeni.
 
hawa ni active wakati wa uchaguzi tu, usiwaponze hiyo zone sasa hivi ni ya moto.
 
Mbaya zaidi wauwaji hawaonekani ili serikali ifanye hata mazungumzo nao.Chanzo ni siasa na wala sio kitu kingine ndio maana wanao lengwa ni watu wenyemafungamano na chama cha siasa ukichunguza vizuri utangundua hawa watu wengine (mapolisi na migambo) wamekuwa wakiuliwa baada ya kuingilia kati kusaidia upande wa siasa.
Ushauli wangu ni ile timu yetu ya Green Guide na yenyewe iingilie kati katika kuimarisha ulinzi wa viongozi wetu wa chama isiwe tu ni kakundi ka wakati wa vikao na kampeni.
hakuna issue ya kisiasa hapo,kama ni siasa tungeona mauaji kama hayo Arusha,Kilimanjaro au Pemba.
 
Hawa jamaa sio wajinga wamejua ukichukua Pwani ya Kibiti basi fikra zitaelekezwa kwenye udini na siasa.Hapa yawezekana tunazugwa na yaonekana kuna kitu kingine kabisa kwenye haya mauaji. Na yawezekana polisi wanafahamu ila wako kimya.
 
huenda vyama vya upinzani hapa nchi vinajua kiini cha mauaji yaliyotokea na yanayoendelea huko mkoani pwani hususani mkuranga na kibiti, hii ni kutokana na nature ya matukio yenyewe kwani yanaitikadi za kisiasa
wanaouliwa ni watu toka chama tawala na serikali kwa ujumla wake huku vyama vya upinzani vikiwa salama kabisa

Kamanda Sirro kachukua hatua nzuri kabisa ya awali lakini zaidi ili kupiga hatua kubwa kuyakomesha na kumaliza majambazi haya ni kuushirikisha upinzani tanzania!

Sirro kaa na wapinzani watakuambia kwanini wanauliwa viongozi wa Ccm na serikali kwa ujumla wake!
hii itakupa abc pa kuanzia hata kama wao sio wahusika wa moja kwa moja
Hii hoja yako ni ya uchonganishi baina ya serikali na vyama vya upinzani kwani swala la kibiti linajulikana na ni jepesi sana kulitatua kama utatumia akili nyingi nguvu chache kwa taarifa nilizozipata baada ya kufatiria na kama Mimi nimeweza kuzipata basi ata jeshi la polisi watakuwa wanalifaham tatizo linalopelekea mauaji hayo
 
Kama revenge bora iwe angalau watawala wataacha kutuonea wanyonge
 
Tatizo Polisi wa Tanzania na viongozi wao hawatumii akili wao wanataka watumie nguvu hata sehemu ambayo haihitaji nguvu
Hao watu ni wengi na wana watoa taarifa wao na ndio maana unaona wanafuata hao mganmbo na viongozi wa kijiji
 
Back
Top Bottom