Mauaji yaliyotokea awamu ya Rais Samia yatajibiwa na karma!

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
13,185
Reaction score
24,051
Habari zenu wakongwe!
Kwa wale wakongwe ndani ya jukwaa hili ninaamini wananifahamu vizuri sana!

Tarehe 29 Julai 2023 niliandika andiko lenye kichwa cha habari kinachosema, "Kwa Rais huyu, CCM wana hali mbaya! Ukipenda kusoma, gonga hii LINK==>Kwa Rais huyu, CCM wana hali mbaya sana!

Ilinichukua miezi mitano kufahamu kuwa Rais Samia hana karama, kipaji na ujuzi wa uongozi baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania.

Uchaguzi Mkuu 2025 umechagiza na kuhitimisha hoja yangu! Yaliyotokea wakati wa utawala wake hayatapita kitaifa na kimataifa kama yalivyopita katika tawala zingine nchini.

Ni ukweli uliowazi, Katiba Mpya ijayo itaulazimu utawala ujao uhakikishe aliyekuwa anajiita "Rais wa awamu ya sita" anavuna alichopanda katika utawala wake!

Ninafahamu kwa sasa anafanya jitihada kubwa za kutengeneza mazingira ili aweze kulindwa baada ya utawala wake! Hawezi kufanikiwa! Karma is a bitch and it's just a matter of time!

Kwa sasa anahangaika kutafuta maoni jinsi ya kufanikisha ahadi ya Katiba Mpya ambayo anataka imlinde yeye na kundi lake baada ya utawala wake. Baadhi ya wanaCCM ambao ni statesman wamekataa kuingia kwenye huu mtego ili wamsaidie na baadae wawe kafara! There's no getting out of this! Kwa vyovyote vile, katiba mpya ijayo itakuwa ni kitanzi chake kwa sababu hata ndani ya CCM wamemchoka achilia mbali Watanzania kwa ujumla wao.

Ninafahamu anafanya jitihada ili kufanya marekebisho ndani ya Katiba ya 1977 ili aachane na zoezi zima la kuandika Katiba Mpya kwa sababu Katiba ya sasa inamlinda Rais mstaafu au aliyeondolewa madarakani. Hizi jitihada haziwezi kufanikiwa!

Tanzania ijayo baada ya utawala wa Rais Samia inaenda kubadilika kumuundo na kiuwajibikaji! Hii ina maana Rais Samia atakuwa ni Rais wa kwanza nchini kuwajibishwa!
 
Huwa wanajidanganya sana na madaraka ,kujilimbikizia mimali kibao kwa kuua watu lazima utakumbana na KItu kizito mbeleni.

Utakuta kiongozi benki mbali mbali ana mipesa zaidi ya matrilioni lakin badi linaendelea na wizi wa mali za umma ,hayo matrilioni aliyoyahifadhi hata akiacha kazi leo na kutoingiza hata 100 atakula yeye ,wanae ,wajukuu ,vitukuu ,vilebwe bila kuisha...Maana kila mtoto ukimuachia 3B ataitumia ndani ya miaka 82 kwa kila siku kutumia laki 1,

Assume hayo maviongozi yana watoto 10 then watoto wake 10 atawapa 30B watazitumia ndani ya miaka 82 then hao watoto 10 nao wakipata watoto 10 each means likiongozi litawapa wajukuu 300B then atabakiwa na 670B mzigo bado mrefu ,ndiyo ujue haya maviongozi yana TAMAA tu za mali.(Hapo ni mahesanu ya 1 Trilion lakini haya majaa yana matrilion mengi kwa ufisadi).
 
Gentleman,
hii ni ramli nonsense zaidi hii kwa mwaka 2026 :NoGodNo:
 
Pole pole alisema mambo yakibadilika tu! Mfumo nao wote una change na hapo ndio kuna watu watataka kutoroka wasiweze, wengine wataishia kujipiga risasi. Tusiishi kama hakuna kesho, usiku wa deni haukawii. Tuwe wanyenyekevu ndugu zangu.

Watu wanachukua notes tu kama hawapo ila .......
 
implausible government with uncharismatic president!
 
Pole pole alisema mambo yakibadilika tu! Mfumo nao wote una change na hapo ndio kuna watu watataka kutoroka wasiweze, wengine wataishia kujipiga risasi. Tusiishi kama hakuna kesho, usiku wa deni haukawii. Tuwe wanyenyekevu ndugu zangu.

Watu wanachukua notes tu kama hawapo ila .......
Hili kwa sasa halina mjadala. Mfumo unaenda kubadilika.
 
Hivi CCM walishindwa nini kufanya reform then waingie kwenye uchaguzi? Tamaa ni mbaya sana.
Reform zilizokuwa zinatakiwa zingefanyika ccm ingepoteza 2/3 itakayowafanya kupitisha chochote watakavyo bungeni. Na pia ndio ingekuwa msingi wa ccm kutolewa madarakani 2030 na huo ungekuwa mwisho wa ccm Tanzania. Kila wakitazama ukweli huu wakaona waendeleze uporaji wa Magufuli wa 2020. Kilichotokea ni kupasuka msamba kwa kuiga tembo kunya.
 
Habari zenu wakongwe!
Kwa wale wakongwe ndani ya jukwaa hili ninaamini wananifahamu vizuri sana!

Tarehe 29 Julai 2023 niliandika andiko lenye kichwa cha habari kinachosema, "Kwa Rais huyu, CCM wana hali mbaya! Ukipenda kusoma, gonga hii LINK==>Kwa Rais huyu, CCM wana hali mbaya sana!

Ilinichukua miezi mitano kufahamu kuwa Rais Samia hana karama, kipaji na ujuzi wa uongozi baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania.

Uchaguzi Mkuu 2025 umechagiza na kuhitimisha hoja yangu! Yaliyotokea wakati wa utawala wake hayatapita kitaifa na kimataifa kama yalivyopita katika tawala zingine nchini.

Ni ukweli uliowazi, Katiba Mpya ijayo itaulazimu utawala ujao uhakikishe aliyekuwa anajiita "Rais wa awamu ya sita" anavuna alichopanda katika utawala wake!

Ninafahamu kwa sasa anafanya jitihada kubwa za kutengeneza mazingira ili aweze kulindwa baada ya utawala wake! Hawezi kufanikiwa! Karma is a bitch and it's just a matter of time!

Kwa sasa anahangaika kutafuta maoni jinsi ya kufanikisha ahadi ya Katiba Mpya ambayo anataka imlinde yeye na kundi lake baada ya utawala wake. Baadhi ya wanaCCM ambao ni statesman wamekataa kuingia kwenye huu mtego ili wamsaidie na baadae wawe kafara! There's no getting out of this! Kwa vyovyote vile, katiba mpya ijayo itakuwa ni kitanzi chake kwa sababu hata ndani ya CCM wamemchoka achilia mbali Watanzania kwa ujumla wao.

Ninafahamu anafanya jitihada ili kufanya marekebisho ndani ya Katiba ya 1977 ili aachane na zoezi zima la kuandika Katiba Mpya kwa sababu Katiba ya sasa inamlinda Rais mstaafu au aliyeondolewa madarakani. Hizi jitihada haziwezi kufanikiwa!

Tanzania ijayo baada ya utawala wa Rais Samia inaenda kubadilika kumuundo na kiuwajibikaji! Hii ina maana Rais Samia atakuwa ni Rais wa kwanza nchini kuwajibishwa!
Ndoto
 
Hivi CCM walishindwa nini kufanya reform then waingie kwenye uchaguzi? Tamaa ni mbaya sana.
Huyu Mama aliambiwa akifanya reform tu ndio itakuwa mwisho wa utawala wake. Hata ndani ya CCM walikuwa hawamtaki ndio maana akajipitisha kuwa mgombea na wapinzani wa kweli nje ya CCM akawazuia kugombea.
 
Hivi ule utabiri wako wa chama mbadala kutengenezwa na dola kiwe na ushawishi uliishia wapi? Ila na ww boss bana kwa njozi hujachacha.
Boss, mwenye macho haambiwi tazama!

Ungefahamu ni nguvu na pesa kiasi gani kimetumiwa na Rais Samia ili CHAUMA kichukue nafasi ya CHADEMA na kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania usingeuliza hili swali.
 
Back
Top Bottom