malisoka
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,860
- 2,639
Mauaji ya "Wivu wa Kimapenzi"Ndugu wana jamvi mimi kwa mudasasa kama mwaka hivi nimekuwa nikifuatilia kwa karibu haya mauaji ya wanawake au akina mama na wakati mwingine wamekuwa wakiuwawa kwa njia ya kikatili sana na wakati mwingine hata watoto wanakubwa na mikasa hii.
Leo kwa kumbukumbu zangu kwa kutumia vyombo vya habari, tv, Radio free, na nk nimepata zaidi watu 1200 wameuwawa kwa sababu ya wivu wa mapenzi karibia wote ni wanawake na kwa utafiti wangu wengi ni kutoka kanda ya ziwa(sio kwa sababu za ushirikina ).
Mimi binafsi imenishtua sana nimeona niwashirikishe wana Jamvi labda wenzangu kwa pamoja tunaweza kupata jawabu la kuweza kunusulu kundi hili pekee la watanzania, Cha kushangaza wao wenyewe(wanawake) hawalioni hili na wame consentrate kwenye gender issue na haki za akina Mama.
Mimi kwa mtazamo wangu ni kama ifuatavyo:
1. Mkatabawa Beiging una athari kubwa kwa jamii hii yetu ya kiafrika hususani hapa Tanzania, kwamba tumekopi culture ya nchi za magharibi na kuzipa nguvu ya kisheria katika nchi yetu kwa hiyo hapo kuna mgongano wa maslahi watanzania wote hatujatayarishwa kwa ajiri ya hayo maazimio ya Beijing. Hatuko tayari kwa ushoga na kusagana!
2. Maadiliya wanawake yameshuka kama sio hayapo kabisa.
3. Uhuru wamahusiano au tendo la ndoakwa walio ktk ndoa, kwa mfano tukiuliza wazee wa zamani wanasema Mwanamke alikuwa ni nguzo muhimu sana kwa familia ktk kulea watoto na kutunza familia na nyumba lakini sasa wanawake wanagombania wao kurithi mali,Kulizishwa (Sexual satisfy) katika mapenzi na kuacha kazi yao muhimu ya kulea familia. Kwa utafiti wangu asilimia 95% ya makuzi ya watoto yanafanywa na mahouse girls tena sio mmoja mpaka mtoto aanze darasa la kwanza anakuwa amepitia kwa zaidi ya ma house girls 7-10 wenye tabia tofauti tofauti.
4. Hakisawa ( Kauli mbiu ya Wanawake) Mimi ninafikiri kuna mambo kweli hakilazima iwe sawa lakini sio yote, Ngoja nikushangaze labda hujawahi kusikia, Unajua kwa hii haki sawa Wanawake Marekani wametengeneza Biblia yao ili iendanena matakwa yao kwa sababu wanadai Biblia na Msahafu kwamba vina makosa kwasababu havipo balanced.
5. Msongowa Mawazo kwa sababu ya shughuli nyingi walizojilimbikizia hata zile ambazo sio stahili yao wengi wao wamekubwa na mgando wa mawazo, msongo wamawazo, kisukari, kuchanganyikiwa na nk (jaribu kufuatilia Milembe na muhimbili au Hospital yeyeote ni watu gani wenye tatizo la magongwa ya akili hapaTanzania asilimia kubwa ni akina wanawake).
6. Hivi umeishafuatilia masuala ya ndoa Wengi wa wanawake wako majumbani au aliolewa na kuachika au hajaolewa tu kwa sababu haoni zababu ya kuolewa.NB: Ninaomba msinielewe vibaya kwamba nimeegemea upande mmoja hii ndivyonionavyo.
Sasa Nini cha kufanya ninaomba sana maoni yako na mapendekezo au ushauri kwao au wao wanawake ushauri kwetu sisi wanaume ili tufikie ktk maisha ya amani na upendo kama hapo awali mimi sitaki kusikia mwanamke amekatwa kichwa, sitaki kusikia mwanamke amewanywesha sumu watoto wake wa kuwazaa, sitaki kusikia mwanawake anaua na kuchimba kaburi na kuzika na kuweka msalaba!
Nawasilisha.