Mauaji Ya raia VS Mauaji Ya Police.

Mauaji Ya raia VS Mauaji Ya Police.

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,931
Reaction score
4,549
Nimevutiwa na mvutano mkubwa ktk thread ya pasco inayohusu mauaji ya mahabusu mwz,aliyenivutia kabisa ni huyu UCD kumchimba mkwara wiseboy kuwa atakamatwa kama mwenzake wa fb na kisha kuteswa kisa alichangia kushabikia mauaji ya police stakishari,kama kweli upelelezi wa police unaweza kujikita ktk kukamata mchangiaji tu wa mtandaoni basi hawana uwezo wowote wa kudhibiti uhalifu,binafsi sipendi kabisa mtu yoyote apoteze maisha ila kwa hali ilivyo hivi sasa kuna watu wanafurahia kusikia police kauawa,kwanini wanafurahi? kuna raia wengi hapa Tz wameuawa na police bila hatia,binafsi nina ndugu yangu alifia mikononi mwa police kwa kipigo,kosa lake lilikuwa ugoni na si jambazi,vijana wafanyabiashara wa madini wa mahenge waliuawa na police na kisha kuporwa pesa zao na kusingiziwa ujambazi,Daud mwangosi aliuawa na police na hakuwa na hatia,sasa wewe UCD unadhani hawa ndugu wa wahanga wakisikia police kauawa watastikika? la hasha, watafurahi,hata Marekani kumekuwepo na mauaji ya kisasi dhidi ya police kwa vitendo vyao
 
Hadithi hii ni tamu sana, malizia bac

Ni tamu kwa kweli,huyu UCD ni mjinga tu,yeye anadhani watu watahuzunika kwa lipi? polis ndo wanachafua hali ya hewa wao wenyewe,mambo yakiwageuka wanarudi kwa raia kuomba poo,wabadilike na kuacha kuonea raia.
 
Mchangiaji wa fb anakamatwa na kuteswa? aisee kama ni kweli basi hiyo ni kali kuliko,uchangiaji wa mtandaoni una link vp na uhalifu husika? siamini kwamba mhalifu aliyeweza kuua polisi na kupora silaha anaweza kupata muda wa kuingia humu na kisha kutukana au kufurahia uhalifu wake,wauaji si watu wa kawaida wanaishi ktk ulimwengu wao kabisa tofauti na huu tulionao spying gani ya kumtafuta muuaji wa polisi unakimbilia kumkamata mchangiaji wa kwenye mitandao kwa hisia zake tu? huo ni umbumbumbu uliopitiliza.
 
Uko sawa kabisa mkuu kama wameshindwa kuupata huo mtandao wa kihalifu basi waombe msaada hata FBI,halafu mahabusu hawezi kufanya jaribio la kupora silaha wakati kafungwa pingu hawa polis wanatufanya sisi wajinga sana
 
Mchangiaji wa fb anakamatwa na kuteswa? aisee kama ni kweli basi hiyo ni kali kuliko,uchangiaji wa mtandaoni una link vp na uhalifu husika? siamini kwamba mhalifu aliyeweza kuua polisi na kupora silaha anaweza kupata muda wa kuingia humu na kisha kutukana au kufurahia uhalifu wake,wauaji si watu wa kawaida wanaishi ktk ulimwengu wao kabisa tofauti na huu tulionao spying gani ya kumtafuta muuaji wa polisi unakimbilia kumkamata mchangiaji wa kwenye mitandao kwa hisia zake tu? huo ni umbumbumbu uliopitiliza.

Uko sawa kabisa mkuu kama wameshindwa kuupata huo mtandao wa kihalifu basi waombe msaada hata FBI,halafu mahabusu hawezi kufanya jaribio la kupora silaha wakati kafungwa pingu hawa polis wanatufanya sisi wajinga sana labda awe na mafunzo ya kikomandoo,sasa watuambie hao mahabusu wa mwanza waliowaua wakidai walitaka kupora silaha hawakuwa na pingu? au walikuwa makomandoo?
 
Ni ile sheria kali ya makosa ya mtandao imeanza kufanya kazi rasmi nini. Tujuzane wadau tusije tukadakwa kwa kulonga humu. Kumbuka tu hiyo sheria inawapa polisi nguvu za ajabu!
 
Kufa au kupona ni kazi ya polisi kwakuwa mkataba wake wa ajira uko vile, ndio maana hutoona haki za binadamu wanatetea polisi kuuliwa na jambazi kwa sababu ni moja ya kazi yake, askari anatakiwa afe kuokoa wengne ndio kazi yake, lkn ni kosa kubwa sana askari kuua raia au kumsababishia maumivu yatakayosababisha umauti. Huyo OCD hajielewi.Askari anatakiwa afe kwa kishindo aokoe wengne.
 
Back
Top Bottom