MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,976
Ninashukuru kama wamenisikia!Wamekusikia.
Kuna matukio yakitokea kama wewe una uelewa mzuri unakuwa na uwezekano mkubwa wa kufahamu kilicho nyuma ya sababu na pia utawafahamu wafanya tukio.Ulivyoandika kama unawajua vile
Thanks Mkuu.Umeongea facts saaana mkuu..
Serikali ipo lakini nina wasiwasi na mbinu za serikali!Serikali uko wapi?