Mauaji ya Pwani, ni mbinu ya kuwachonganisha wananchi na Serikali

Ila haya mambo yanqhitaji uchunguzi wa kina .mtu anapigwa risasi shambani ambako ni tambarare na mpigaji haonekani ikimaanisha anashoot toj toka km zaidi ya mbili manake nn.sniper
 
MsemajiUkweli hivi ile intelejensia ya Polisi ya kutabiri, kubashiri au kubaini mambo yanayohusu siasa hasa za wapinzani ipo wapi wakati huu? Kwanini isitumike wakati huu taifa linapohitaji usalama eneo husika?
 
Back
Top Bottom