TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,787
- 4,262
Ingekuwa uwezo wangu, jamaa leo leo anarudi uraiani mapema tuu aendelee na maisha yakeHata mimi,haiwezekani kwa pressure za south halafu watu wanaleta udwanzi,huyu mwana akipata wakili mzuri atakaa jela lakini baada ya muda atatoka
Taarifa zinazosambaa kukamatwa kwa kijana mmoja huko Mwananyamala kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili ambao ni ndugu zake wa damu akiwemo baba yake mzazi ni za kweli.
Nimefuatilia kwa ukaribu kijana alikuwa akiishi Afrika ya kusini akijishuhurisha na biashara,akiwa huko kila alichokuwa akipata kwa kiasi kikubwa alikuwa akimtumia baba yake mzazi,kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa nyumba yake.
Alianza kutuma pesa za kununua kiwanja na mzee kwa kushirikiana na ndugu yake huyo walithibitisha walinunua kiwanja kumbe si kweli,baada ya muda akatuma fedha kwa ajili ya kuanza ujenzi wa nyumba,na inasemekana kiasi kilichotumwa kilipaswa kuwa kimekamilisha ujenzi wa nyumba kwa zaidi ya 90%.
Katika kipindi chote akiwa huko walikuwa wakimtumia picha na video feki akawa anaamini,sasa kijana karudi baada ya hili vurugu linaloendelea huko la ubaguzi na hajakuta alichotarajia kama walivyomuaminisha.
Baada ya kuhoji mzee wake akawa jeuri kwakutafuta huruma kwakuwa ni mzazi akajibu atakavyo kwa maneno makali kama mimi nimekuzaaa ,nimekulea umenilipa nini?,kijana akajawa na jazba,kumuuliza ndugu yake aliyekuwa wanashirikiana na mzee naye niwakaliba hiyo ndipo kijana akachukua maamuzi magumu.
MY TAKE.
Kuna ujinga fulani wazazi wanaufanya na kutake advantage kwa watoto wao kwakuwa wamewaza.
Hakuna mtoto aliomba mzazi amzae,ni mzazi mwenyewe alizaa kwa matakwa yake,na kulea ni suala la kisheria na niwajibu wake mzazi kulea,na hastaili malipo.
Kuzaa mtoto kwa lengo la kutata aje akusaidie baadae huo ni uzindukaya na fikra za kidwanzi,huyo mtoto atakuwa na familia yake,atahudumia wangapi?.
Wazazi wanatumika kukwamisha watoto wao kwa kujiamulia mambo kisa wazazi ni udwanzi.
kwa sisi vijana tubadili mentality,tuzae pasipokuwa na mategemeo ya watoto kutusaidia kama sheria,mtoto aje atusaidie sababu ya upendo na fahari kwake na sio kwamba sina uwezo wa kujihudumia.
Japo nina mashaka makubwa na ukweli wa habari hii lakini hata kama ingekuwa ni kweli hatoki ng'o. Huyu kitanzi ni haki yake. Auwe watu wawilitena kwa premeditation halafu atoke?Hata mimi,haiwezekani kwa pressure za south halafu watu wanaleta udwanzi,huyu mwana akipata wakili mzuri atakaa jela lakini baada ya muda atatoka
Hapana mdau, inauma sana sana mno. Ila kijana bado anauwezo kwa kutafuta tena. Angemuachia mwenyezi Mungu. Hizo story zipo sana diaspora wa ULAYA na MAREKANI babu.Hii kama n kweli bc namuunga mkono jamaa, mm mwnyw nngepita na roho zao kmmmkee, bora tukose wote.
Hapana.Hapana mdau, inauma sana sana mno. Ila kijana bado anauwezo kwa kutafuta tena. Angemuachia mwenyezi Mungu. Hizo story zipo sana diaspora wa ULAYA na MAREKANI babu.
Inasikitisha mno
Na ww Kwann unaamini story za upande mmoja?Acha uongo unapata faida gani kumtetea huyo muhuni muuaji?
Taarifa kutoka kwa ndugu na yeye alivyokiri kwa polisi ni kua nyumba amerithishwa na babu yake na alikua hataki baba ake mzazi ampangie masharti ikiwemo kuvuta bangi
Kaelezea kwa jeshi la polisi au unataka kujiveka uwakili ukamsikilizie gerezani?Na ww Kwann unaamini story za upande mmoja?
Umemsikiliza jamaa n kipi kimemsababisha kuua?
Leta hy video akijieleza polisiKaelezea kwa jeshi la polisi au unataka kujiveka uwakili ukamsikilizie gerezani?
Kusema mtu adai urithi wa babu wakati wenyewe wapo.! bado kidogoSio kweli Dogo yupo bongo mwaka mzima. Dogo alikuwa anataka iuzwe nyumba ya urithi baba zake wakagoma ndio akafanya alicho kifanya.. Hiyo story ya kutuma hela ni uzushi
Wewe ni Ke au Me?? Kama ni Ke hakuna tatizo. Kama ni Me utakuwa na tatizo mahali.Sifa mojawapo ya Me ni kutumia akili na siyo hisia.Nimefuatilia kwa ukaribu kijana alikuwa akiishi Afrika ya kusini