A
Aliyewatorosha Baraka na George anaitwa nani?Mimi ni jirani ninayeishi Kata ya Matevezi au Ngaramtoni ya chini, Arusha Manispaa.
Nimekuwa nikisikia kelele za yowe mara nyingi Waraibu wakiadhibiwa katika Kituo hiki kinachomilikiwa na Kijana anayeitwa Tariq.
Juzi kuna kijana anayechunga Mbuzi huwa nina mazoea ya kumpa matunda alikuja akiwa amebadilika kihisia ndio akaniambia kuna mwenzao anayejulikana kwa jina moja la Faustine amepigwa akazimia hali iliyompelekea kupelekwa hospitali ambapo jioni alikata roho.
Waliompiga wanajulikana na kuna mchezo mchafu unaendelea ili iwe siri. Naliomba Jeshi la Polisi na Kitengo cha DSO wafuatilie habari hii mara moja sababu naambiwa wawili kati ya waliompiga majina yao Baraka na George wameshawezeshwa kutoroka na kwenda kufichwa.
Nawasilisha.
Mimi ni jirani ninayeishi Kata ya Matevezi au Ngaramtoni ya chini, Arusha Manispaa.
Nimekuwa nikisikia kelele za yowe mara nyingi Waraibu wakiadhibiwa katika Kituo hiki kinachomilikiwa na Kijana anayeitwa Tariq.
Juzi kuna kijana anayechunga Mbuzi huwa nina mazoea ya kumpa matunda alikuja akiwa amebadilika kihisia ndio akaniambia kuna mwenzao anayejulikana kwa jina moja la Faustine amepigwa akazimia hali iliyompelekea kupelekwa hospitali ambapo jioni alikata roho.
Waliompiga wanajulikana na kuna mchezo mchafu unaendelea ili iwe siri. Naliomba Jeshi la Polisi na Kitengo cha DSO wafuatilie habari hii mara moja sababu naambiwa wawili kati ya waliompiga majina yao Baraka na George wameshawezeshwa kutoroka na kwenda kufichwa.
Nawasilisha.
Tuanzie hapa upelelezi wetuAliyewatorosha Baraka na George anaitwa nani?
Duh!!,Mimi nilijua Sober house waraibu wanasaidiwa kuachana na madawa ya kulevya,kumbe kuna kupigwa vibaya tena?.Mhhh!!,hii ni hatari.Niliwahi kukaa hiyo sober miaka ya kama miwili nyuma,kiuhalisia adhabu zinazotolewa pale endapo utaenda kinyume na utaratibu ni kali sana.
Kinachosikitisha mmiliki alihalalisha unyama huo
Shida ya kujifanya unajua sana kiswahili,MaudhuiNgumu kuelewa haya mahudhui sana, fafanua vizuri andiko lako
Seriously hujaelewa?Ngumu kuelewa haya mahudhui sana, fafanua vizuri andiko lako
Huko sober kuna adhabu ?....hii kali....Niliwahi kukaa hiyo sober miaka ya kama miwili nyuma,kiuhalisia adhabu zinazotolewa pale endapo utaenda kinyume na utaratibu ni kali sana.
Kinachosikitisha mmiliki alihalalisha unyama huo