Duuuhh! HatariKagame nyoka
Aise!Watu wasiojulikana wamewauwa wanajeshi wa tanzania
It makes senseHawa waasi wa ADF wanatokea Uganda. Ikumbukwe kuwa kiongozi wao alikamatwa nchini Tanzania na serikali ya Uganda wakaomba apelekwe Uganda kujibu mashitaka ya mauaji na Tanzania ikaridhia.
Ktk mazingira kama hayo lazima waasi wa ADF wa target JWTZ.
Vv
Hapo chacha!Wabaya katika Operation hii ni hawa tunao waita Wahisani ama Wafadhili katika Umoja wa Mataifa (UN).
Wametoa maagizo kutoshambulia pale mnapo letewa Mashambulizi kutoka kwa Waasi...!
Tangu kutekelezwa kwa Maagizo/Maelekezo hayo, hali inazidi kuwa mbaya kwa walinda Amani, sasa sijui ni nani ananufaika kuwepo na idadi kubwa Vifo vya Wanajeshi wetu.
Kagame huwa anabembeleza magufuli awatoe JWTZ kule congo apate kurejea kuiba madini na Rasilimali zingine nyingi bure kwa kutumia vikundi vya waaasi .Ninamashaka na urafiki wa kagame naMagufuli
Jeshi la Tanzania lipo congo kwa ajili ya kulinda Dili la kikwete na Kabila baada ya kuwapora Mseveni na kagame, kinachofanyika sasa ni Uganda na Rwanda kuwatuma comandoo wakawavalisha sare za vikundi vya waasi wanaenda congo kuwaua Asikari wa JWTZ ambao hawaruhusiwi kupigana vita kwa sheria za UN , baada ya kuuawa kwa wingi kinachofuata ni magufuli kuwarejesha Nyumbani kisha Kagame na Mseveni watarejea Congo kuendelea kuiba madini na Rasilimali Zingine.Kuna kitu watakuwa wanafanya hao wabongo.
Lazima kutakuwa na kitu huwa wanafanya huko
Congo ina utajiri mkubwa wa madini
Ndiyo Ukweli wenyewe na kama Tanzania wanataka kubakia salama ni bora wavunje sheria za UN waamue kuingia vitani kwa nguvu wawashambulie hao waasi kwa siraha kali na mbinu za kisayansi mpaka wawatokomeze wote kinyume na hapo kuna Ajenda ya Siri kati ya magufuli na Kagame.Rwanda na Uganda lao ni moja. Wote wananufaika na yanayotokea DRC.
Nahisi kinachofanyika sasa ni kuifanyaTanzania iamue kuondoa majeshi yake huko DRC ili waendelee na wizi wao wa madini.
Kwa sasa hakuna manufaa zaidi ya hilo fungu la UN wanalolipwa jwtz kupigwa panga na viongozi huku wanajeshi wenyewe wakijipatia vipato humo na mwenye Dili kikwete na Kabila wakivuna Madini yao, inaelekea Kabila hajampatia mgao magufuli ndiyo maana Magufuli kaamua ale Dili na Kagame wapate kugawana Madini kibao wenyewe huku Jeshi la Rwanda na Uganda wakifanya kazi.Kuna manufaa gani kuweka wanajeshi wetu kongo??Warudi nyumbani!!Anae nufaika aende yeye na wanae!!