Je haki ya kutaka kujitenga ni kosa? Mbona South Sudan wamefanya hivyo hivyo na kusaidiwa na nchi kadhaa zikiwepo za Afrika mpaka ndoto yao imetimia.
Kwa hiyo unahalalisha mauaji ya halaiki yafanywayo na Ethiopia? Samahani bado sijaipata Point yako hapo, kama ni historia uko sawa lakini suala hapa ni mauaji ya halaiki.