Mauaji ya Abraham Linkolin

uko sawa Huko Drixie ndiko watu weusi walipofikia na utumwa ulikuwa mkubwa. John Wilkes Booth alikuwaNorth wakati civil war inaanza. Ndio maana nilidhani north pia walikuwa hawataki watu weusi, Kumbe huyu jamaa huko north alikuwa mamluki na shushushu.
 
Ni kweli mkuu,nilijua tu ulighafilika kwa kuwa story ya hiyo vita unaifahamu so nikaona nikushtue tu kusudi mwingine ambaye aingeifahamu habari hiyo kutoka hapa asije kuielewa tofauti,tuko pamoja mkuu.
 
Nilishafika kwenye Museams ya Lincolini , wanasema aliuwawa wakati akiwa theatre anaangalia movie kuna KKK mmoja ndo alimshoot Linc akiwa kwenye stage anaangalia akamshoot but inaonyesha ilikuwa ni inside mission
Rudi kwenye klu klax Klan hili likikuwa kundi baya sana
 
Ni kweli mkuu,nilijua tu ulighafilika kwa kuwa story ya hiyo vita unaifahamu so nikaona nikushtue tu kusudi mwingine ambaye aingeifahamu habari hiyo kutoka hapa asije kuielewa tofauti,tuko pamoja mkuu.
Napenda na wimbo unaitwa AMERICAN TRILOGY by Elvis presley Kipindi hiki kilikuwa sio utumwa, bali ni ubaguzi wa hali iliyotukuka. Hadi jamaa aliyetunga wimbo huo anatamani DRIXIELAND mahali walipofikia wakitolewa afrika, Lakin baada ya kumalizwa utumwa 244 baadae wanakumbana na dhahama kubwa kuliko kawaida, Hao Northerners na wazungu wahamiaji wenzao wakaonekana kuwa ni wabaguzi wa kutupwa. Kwa black american hasa wakristo huu wimbo unamaana sana.

Drixieland == The southern provinces
 

Mkuu unajua wimbo wa Dixie mtu wa kwanza kuuandika alikuwa Albert Pike?
 
He was One of the greatest philosopher in the world
 
One of the greatest philosopher. Cc@mshana junior
 

Attachments

  • download.jpeg
    24.6 KB · Views: 46
Mkuu @MALCOM,MSEZA wimbo ulikuwa unazungumzia nini kwa ufupi? Nitoeni uvulivuli kidogo maana naona nao kama ulikuwa na ngvu yake.
 
Sasa hebu fikiria huu ndiyo ulikuwa wimbo wa taifa wa Confederate states.
teh teeh teh teh Yankees wamepinda
hapo ndipo meli la kwanza lilitua 1619 likibeba wananzengo na wababe kutoka moyoni mwa afrika ili wakalimie wazungu pamba . hapo mtu mweusi alikuwa ni kifaa cha kutumiwa sio mwanadamu wa kuheshimiwa. ni aibu sana hadi miaka hii kuona mtu mweusi anakuwa kibaraka.
 
Lincoln alikuwa ni mbishi, hata hiyo siku ya kupigwa risasi saliukataa ushauri wa watu wake wa karibu wawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…