Mauaji na wauaji wa marehemu Notorious B.I.G

was an Irish-American organized crime boss and FBI informant Whitey" Bulger Jr.
471px-Whitey_Bulger_US_Marshals_Service_Mug1.jpg
 
Tusibishane yawezekana hakuna unalolijua kuhusu hizi Gangs ingia google halafu search about American Gangs rivalies halafu ubaki na knowledge utakayoipata

I studied gangs, specifically Crips and Bloods. Nimemaliza documentaries zote zinazohusu hawa jamaa. Nimesikiliza karibia interviews zote za hao jamaa. Ukiacha ujuaji unaweza jifunze mengi.
 
Kuna Crips na Bloods. Ndani humo kuna sets mbali mbali kulingana na mtu anapotokea. Kutokana na upinzani, wanachama wa Bloods hawatumii herufi 'C', wala Crips hawatumii herufi 'B', especially not in naming their sets. Suge alikuwa member au associate wa Bloods (you can't miss the red suits), siyo hiyo uliyoitaja.

For your info pia, Bloods and Crips can hang out, kwa sababu sometimes hawa watu wamekuwa pamoja. Vile vile kunaweza kuwa na tofauti kati ya sets tofauti ndani ya gang moja.

Ukihitaji elimu zaidi kuhusu gangs and their politics, usisite mzazi.
Hivi nini ni motive ya kuingia kwenye gang?

Ni lazima ukizaliwa au kukulia eneo flani unalazimishwa kuwa gang member?

What if raia wa kawaida wa mtaa flani wakivaa red/blue in contrary to their gangs color za mtaa husika wanawafanyaje?
 
Kuna kipindi Young Jeezy alimpiga Rick Rose kwa kumtaja member wa Gang moja wapo kwenye ngoma yake ya BMF,alikuwa drug dealer na aliwasaport kitaani kina Young Jeezy. Kipindi hicho jamaa alikuwa jela .
 
Back
Top Bottom