Mjomba wa taifa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 231
- 161
Siku ya jumamosi ya tarehe 29.7.2017 kulibainika kayaking ya wachimbaji wa madini wawili waliouawa kufuatia mapigano ya wachimbaji baina ya mgodi wa Tanzanite one dhidi ya mgodi maarufu kwa jina la "mhindi".
Katika mapigano hayo mtu mmoja alijeruhiwa macho yake yote mawili.
Asubuhi hiyo vyombo mbalimbali vya habari vilifika eneo la tukio lakini cha kushangaza hakuna chombo kilichotangaza kayaking hayo, japo gazeti la Nipashe liliandika kwa ufupi tarehe 30.7.2017.
Kufunika matukio kama haya kunatia dosari vyombo vya ulinzi na mamlaka husika.