Kuna mtu analima huko yeye anasema ni zaidi ya ishirini na serikali imepiga kimya sijui tunaelekea wapi kwa style hii.
Tuliwapa tahadhari ya maafa kutokea lakini serikali sikivu ikapiga kimya
angalia post hii chini
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/577235-waziri-mkuu-katiza-likizo-uzime-mgogoro.html