Mauaji Chuoni Muhimbili


Dakitari, dakitari! Ndo kujivua gamba ulikotangaza wiki iliyopita? Kuna haja gani ya kusema umejitoa jukwaa la deen halafu unayaleta uliyoyakimbia kwenye umma. Angalia matokeo yake, Rev nae amejibu mapigo, halafu jukwaa litaingiliwa na kina Gavana, Schmidt sijui Mgen na wengine! Dakitari bado unalo gamba, livue au urudi ulikotoka!
 
Nimeelewa.........................Kumbe kuuwa ni sehemu ya mafunzo Muhimbili?Sasa wale wa kusingizia vibaka watatibiwa wapi?

Nakubaliana na wewe. Madaktari huapa kulinda uhai na sio kuuondoa. Kushabikia kuua ni mwanzo mbaya kwa wanafunzi a udaktari.
 
Mafisadi wangeangamizwa hivi, nchi ingekuwa safi sasahivi..naona tunachekeana tu!!
 
Jamani pamoja na kuwa ni mwizi basi msichukue sheria mkononi mnatakiwa mfate sheria za nchi na kuhakikisha haki inatendeka kwa pande zote mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…