Maua Sama - This Love ft. Ben Pol

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,262
Imma The Boy!
Keeping the Good Music Alive!!
[Ben Pol
Naona raha, nimepata furaha maishani
Na kila saa, naona nuru iking'ara moyoni Na kama wao walidhani hatutadumu pendoni
Tizama leo watuona ?vichwae na matuni?!

[Maua Sama]
'Cause this love was meant to be
Niamini I'll be your baby
Nafanya utakalo ubaki nami Daima nami
'Cause this love was meant to be
Niamini I'll be your baby
Nafanya utakalo ubaki nami
Daima nami

[Ben Pol & (Maua Sama) Something about you (Una rangi ya kipekee baby)
Tulia kwangu (Bustani yangu ing'ae siku zote)
Something about you (Una rangi ya kipekee baby)
Tulia kwangu (Unilinde tusitengane maisha yote)

[Maua Sama]
Tukigombana haina maana kuyaanika Majirani wajue, kazi bure
Nimekukosea, umenikosea
Hakuna binadamu aliekamilika
Muhimu msamaha na kutambua
Ya kwamba moyo wangu umekuchagua
[Ben Pol]
Because this love was meant to be
Amini I'll be your baby
Ntafanya utakalo baki nami
Daima nami
'Cause this love was meant to be
Amini I'll be your baby Ntafanya utakalo baki nami
Daima nami

[Maua Sama & (Ben Pol)
Something about you (Una rangi ya kipekee baby)
Tulia kwangu (Bustani yangu ing'ae siku zote)
Something about you (Una rangi ya kipekee baby) Tulia kwangu (Unilinde tusitengane maisha yote)
[Ben Pol]
Because this love was meant to be
Amini I'll be your baby
Ntafanya utakalo baki nami
Daima nami
[Maua Sama]
'Cause this love was meant to be
Niamini I'll be your baby
Ntafanya utakalo baki nami
Daima nami
'Cause this love was meant to be Amini I'll be your baby
I'll be your baby
You'll my baby
So never leave me, baby
Pleeease!
'Cause this love was meant to be Amini I'll be your baby
Ntafanya utakalo baki nami
Daima nami
'Cause this love was meant to be
Amini I'll be your baby
Ntafanya utakalo baki nami Daima nami
Keeping the Good Music Alive! Cc. jje's
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji344] 100%
 
umenigusa.....naupendajee.b blessed much.
 
Haka kadada huwa kanaimba vizuri. Mpaka basi.
 
Inababidi ifanye nipata haka ka singi[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
uwekeni humu tuushushe maanA hzo lyrics kuzisomA ni zaid yA kipajI
 
.....................cause this love was meant to be.........................!
what a mesmerizing phrase!
 
Huyo binti napenda Sana kusikiliza nyimbo zake ninazo kama 5 kuna moja kaimba na mwanafa ni nzuri sana!
Ayayayayaaa mule amechafua mbayaa yani ni real talent
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…