Mau Fundi umetisha Mzee Baba

" Kombe lenyewe baaayaa"

# Mau Fundi wewe hauna kipaji ila wewe ndo KIPAJI chenyewe..kukwambia una kipaji cha kuchekesha ni kukukosea heshima kwa sababu wewe ndo kipaji chenyewe.
Niliiona ile naamka tu japo ilikuwa ni asubuhi ila nimecheka kweli.
 
Huyu dogo nadhan ndo msanii nikimuona naanza kucheka...hahaha..kako smart sana.. Mau huwez mfananisha na Mpoki ht siku 1
Duh basi ukija niona siku moja utaanza kucheka tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Mi nakumbuka Ile habari dha athubuhi majirani dhanguuuuuuu[emoji23]
 
Alienda msibani kwa mshkaji wake akanyimwa nyama,daa akalia sana akamalizia ''thubiri TU na Mimi nitafiwa"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo ndio mau anajiita minyama uzembe[emoji23][emoji38]
 
mau namkubali sana jamaa
ile kazi ya u comedian anaiweza!
sio ule uttumbo wa kujiita dullvany sijui!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…