Mau Fundi umetisha Mzee Baba

Mau Fundi umetisha Mzee Baba

" Kombe lenyewe baaayaa"

# Mau Fundi wewe hauna kipaji ila wewe ndo KIPAJI chenyewe..kukwambia una kipaji cha kuchekesha ni kukukosea heshima kwa sababu wewe ndo kipaji chenyewe.
Niliiona ile naamka tu japo ilikuwa ni asubuhi ila nimecheka kweli.
 
Mi nakumbuka Ile habari dha athubuhi majirani dhanguuuuuuu
 
Alienda msibani kwa mshkaji wake akanyimwa nyama,daa akalia sana akamalizia ''thubiri TU na Mimi nitafiwa" huyo ndio mau anajiita minyama uzembe
 
mau namkubali sana jamaa
ile kazi ya u comedian anaiweza!
sio ule uttumbo wa kujiita dullvany sijui!
 
Back
Top Bottom