Kama ndivyo mbona kamanda wa polisi aligoma kwamba hawakupewa limit ya makusanyo kutoka barabarani na akasema kwamba faini za barabara hazitumikki kama chanzo Cha mapato hii wewe umetoa wapi... nakuunga mkono kwenye hili. Tatizo ni kwamba fine za barabarani ni sehemu muhimu ya mapato ya serikali.
... basi ziondelewe kuwe na adhabu mbadala.Kama ndivyo mbona kamanda wa polisi aligoma kwamba hawakupewa limit ya makusanyo kutoka barabarani na akasema kwamba faini za barabara hazitumikki kama chanzo Cha mapato hii wewe umetoa wapi
zinakuwa hivi kama kwenye hii video zinaitwa pedesterian underpass barabara inakuwa juu watu na mifugo wanapita chini kutoka upande mmoja kwenda mwingineWaziri wa miondombinu wa zamani na sasa ange bahatika kufanya ziara India ingewezekana. Japo jaribu kumtumia video clip fupi mfano kivuko miguu Ujiji anaweza kutoa maelekezo.
Kwan unapolipa fain ya traffic hiyo fain inaingia wapi? Polisi au hazina?Kama ndivyo mbona kamanda wa polisi aligoma kwamba hawakupewa limit ya makusanyo kutoka barabarani na akasema kwamba faini za barabara hazitumikki kama chanzo Cha mapato hii wewe umetoa wapi
Wala usiende mbali kote huko, Iringa ipo moja pale kwenye mlima wa Kisima cha bibi na imeindoa usumbufu wa kundi la watu toka Ipogoro kuvuka barabara!!zinakuwa hivi kama kwenye hii video zinaitwa pedesterian underpass barabara inakuwa juu watu na mifugo wanapita chini kutoka upande mmoja kwenda mwingine
Hayo matuta ndio yanarusha magari mtu akiwa mwendo kasi kama hajaliona akiligusa gari inaruka na kupaa .Yasipokuwepo ajali zitapungua kwenye barabara za mikoaniSawa mkuu kwa upande mmoja wazo lako ni zuri, lakini kiuhalisia matuta yaliwekwa barabarani kwa sababu za kiusalama! Kuna watu usipowawekea vithibiti mwendo wanaweza kuwarukia hata hao wanaovuka chini ya barabara!
Acha dharau ,Heee! kwanini usiongee na Magufuli moja kwa moja? Kumbe hauna hata namba yake?
Mbona huwa unabwata sana humu?
Nilijua ni bonge la mtu high profile figure kumbe ngumbaru tu —underdog?
Hivi magufuli analijua hata jina lako wewe?