nauliza endapo sheria ni msumeno yale maporomoko ya matusi mbele ya watoto na kinamama yaliyotemwa na mbunge wa Mtera si kukiuka maadiliya uchaguzi?je anafaa kuendelea kuwa kiongozi wa wananchi?wazo langu .hafai kuwa mbunge na jimbo la mtera ni kama liko wazi tukisubiri hatua za kisheria..
hata mi napenda iwe hvyo!
Lakini Lema alituhumiwa kutukana(japo uthbitisho ni giza tupu) na amevuliwa ubunge!
BAHATI MBAYA SANA,Hili haliwezekani kwa mbunge LUSINDE(Mhe?????)
Hii ni kutokana na ukweli kuwa,alipokuwa anatukana,hakuwa anagombea yeye!
Hapa yafuatayo yanaweza kufanyika:
1:Kama CCM\SIOI wangekuwa wameshnda,basi kes ingeandaliwa,na hapa Sioi(NAOA??) Angeenguliwa.
2:Kwa sasa Lusinde anaweza kukamata,na mahakama zetu zingekuwa huru,angefungwa jela kwa miaka isiyozidi mitatu na usio pungua mmoja.
3
🙁Na hili ni pendekezo langu)
Kwa kuwa watanzania ni wakarimu na tunapenda kumsaidia mtu mwenye matatizo,basi tumsaidie Lusinde,maana hajui alitendalo!
Wengine wamejaribu kumsaidia kwa kumlaumu!
Wengine wamemsaidia kwa kumtukana!
Lakini Clauds Fm walifunika,maana walimwita ili wamwonye,na aombe msamaha,bali aliishia kuwatukana.
Mytake:
Lusinde ni mgonjwa.
Nilikuwa sina hakika na ugonjwa wake,Lakini clauds fm walipo mwita na akatukana,nilimsamehe bure na kwa sasa nashauri AKAMATWE HARAKA,AFUNGWE MINYORORO SITA NA KUWAHSHWA MILEMBE.