Si unahitaji sentensi, hii hapa... Ukiwa KIHIYO wakati unashughurikia NUKTA jiangalie, maana unaweza UKAKAMERUNIWA MASABURI yakosi unaona sasa kama hayo mimi sijui kabisa maana yake hebu tutungie walau sentensi moja moija pengine tukaelewa
Hebu nifanye Home work ya civics kwanza.
Civics!! sasa wewe utakuwa under 18 huruusiwi kuwa humu, Au ndio Elimu ya uzeeni.