ieleweke matunzo ya mtoto ni haki yake ya msingi ikiwemo kula vizuri, kulala vizuri, kuvaa vizuri, na kusoma, na mwenye wajibu wa kutoa huduma hii ni baba ikiwemo na kuhakikisha afya yake iko vizuri kwahiyo inatakiwa ale avae pia alale wewe mwenyewe utaangalia hata sheria hazijaweka wazi kwasababu ghalama huendana na wakati na mazingira