Kwanza watoto wa nguruwe wanapozaliwa siku ya kwanza mpaka ya tatu wanatakiwa wachomwe iron mara moja then wakimaliza wiki moja wanatakiwa wachomwe Gentaject pamoja na introvite hizo ni antibiotic na vitamin ambazo chanjo ya kutetemeka
Kwa wafugaji zingatia hilo