mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 20,455 Reaction score 36,450 Nov 13, 2012 #21 Mwana Mtoka Pabaya said: Kwa kukujali, nakuwekea na video ► 4:13► 4:13 Collecting Seeds From A Pineapple - YouTube Click to expand... asante mkuu
Mwana Mtoka Pabaya said: Kwa kukujali, nakuwekea na video ► 4:13► 4:13 Collecting Seeds From A Pineapple - YouTube Click to expand... asante mkuu
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Nov 13, 2012 #22 Nyaluhusa87 said: yasiyokuwa na mbegu kivipi? Au ukiwa unakula hilo tunda ndo usikute mbegu zake kwa ndani kama unavyokula chungwa? Click to expand... mi naona mjadala ni huu......kwamba wakati unakula.....basi hukuti mbegu ndani.....labda tuanzie hapo......
Nyaluhusa87 said: yasiyokuwa na mbegu kivipi? Au ukiwa unakula hilo tunda ndo usikute mbegu zake kwa ndani kama unavyokula chungwa? Click to expand... mi naona mjadala ni huu......kwamba wakati unakula.....basi hukuti mbegu ndani.....labda tuanzie hapo......
Mapondela JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 454 Reaction score 85 Nov 13, 2012 #23 Mwana Mtoka Pabaya said: Hiyo ulioanzanayo tu tayari umechemka. Kizazi hiki cha ajabu sana, nani aliwaambia ndizi haina mbegu? Click to expand... Labda unamaanisha mbegu ya kokwa. Kwa sababu hakuna tunda ambalo halina mbegu hutokaa ulipate.
Mwana Mtoka Pabaya said: Hiyo ulioanzanayo tu tayari umechemka. Kizazi hiki cha ajabu sana, nani aliwaambia ndizi haina mbegu? Click to expand... Labda unamaanisha mbegu ya kokwa. Kwa sababu hakuna tunda ambalo halina mbegu hutokaa ulipate.
Bwana Mapesa JF-Expert Member Joined Apr 28, 2011 Posts 2,551 Reaction score 1,777 Nov 13, 2012 #24 kyumana said: Naombeni anayejua matunda aina tano yasiyo na mbegu 1.Ndizi 2. 3. 4. 5. Click to expand... mkuu mi nimepata NANASI
kyumana said: Naombeni anayejua matunda aina tano yasiyo na mbegu 1.Ndizi 2. 3. 4. 5. Click to expand... mkuu mi nimepata NANASI
MATESLAA JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 1,246 Reaction score 75 Nov 13, 2012 #25 kyumana said: Naombeni anayejua matunda aina tano yasiyo na mbegu 1.Ndizi 2. 3. 4. 5. Click to expand... huna kaz ya kufanya hebu ulza maswal ya msingi, then n mwalm nan kaku2ma hayo? Ulza v2 vya kujenga utasaidiwa
kyumana said: Naombeni anayejua matunda aina tano yasiyo na mbegu 1.Ndizi 2. 3. 4. 5. Click to expand... huna kaz ya kufanya hebu ulza maswal ya msingi, then n mwalm nan kaku2ma hayo? Ulza v2 vya kujenga utasaidiwa
Mkuu rombo JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 1,556 Reaction score 422 Nov 13, 2012 #26 MATESLAA said: huna kaz ya kufanya hebu ulza maswal ya msingi, then n mwalm nan kaku2ma hayo? Ulza v2 vya kujenga utasaidiwa Click to expand... wewe 0715 hapa ni jf kila m2 ana uhuru wa kuuliza swali lolote aweze kujibiwa we kama limekushinda piga kimya
MATESLAA said: huna kaz ya kufanya hebu ulza maswal ya msingi, then n mwalm nan kaku2ma hayo? Ulza v2 vya kujenga utasaidiwa Click to expand... wewe 0715 hapa ni jf kila m2 ana uhuru wa kuuliza swali lolote aweze kujibiwa we kama limekushinda piga kimya
Nyaluhusa87 JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 1,303 Reaction score 262 Nov 13, 2012 #27 Preta said: mi naona mjadala ni huu......kwamba wakati unakula.....basi hukuti mbegu ndani.....labda tuanzie hapo...... Click to expand... mimi mwenyewe nafikiria hivyo na ndo nahisi muanzisha thread naye alifikiri hivyo na ndo maana alianza na ndizi...jingine ni mfulusaji,nanasi...
Preta said: mi naona mjadala ni huu......kwamba wakati unakula.....basi hukuti mbegu ndani.....labda tuanzie hapo...... Click to expand... mimi mwenyewe nafikiria hivyo na ndo nahisi muanzisha thread naye alifikiri hivyo na ndo maana alianza na ndizi...jingine ni mfulusaji,nanasi...
Himawari JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 2,609 Reaction score 1,703 Nov 16, 2012 #28 Mwana Mtoka Pabaya said: Na hakuna tunda ambalo kwa uasilia wake halina mbegu. Kitu chochote chenye kutoa ua kina mbegu. Click to expand... Nashukuru kwa angalizo mkuu. Lakini kizazi cha ndizi hakiendelezwi kwa mbegu japo hizo mbegu hafifu zipo! Siku hizi yapo matuda mengi tu yasiyokuwa na mbegu kwa sababu tecnholojia imetumika yasitoe mbegu.., mfano machungwa, chenza, peas n.k.
Mwana Mtoka Pabaya said: Na hakuna tunda ambalo kwa uasilia wake halina mbegu. Kitu chochote chenye kutoa ua kina mbegu. Click to expand... Nashukuru kwa angalizo mkuu. Lakini kizazi cha ndizi hakiendelezwi kwa mbegu japo hizo mbegu hafifu zipo! Siku hizi yapo matuda mengi tu yasiyokuwa na mbegu kwa sababu tecnholojia imetumika yasitoe mbegu.., mfano machungwa, chenza, peas n.k.