kama kuna kitu ambacho wadau wake watakijutia milele ni shule za kata. wanafunzi wanaopitia shule hizi kwa kweli wana hali mbaya sana kielimu! na kwa hili namuunga mkono Mzindakaya kuwa shule hizi zitakuwa sumu kali sana kwa ccm manake watoto watapita pale na kuharibiwa muda wao bila ya kupata elimu ya aina yoyote ya maana