HongeraNdugu zangu wapendwa,
Ninapenda kutoa shukrani za dhati kwenu kwa sapoti na msaada wenu mkubwa mlionipa hadi kufanikisha kupata tenda ya Tigo YAS ya kubandika mabango. Ingawa tenda hiyo imeisha, imenifungulia njia na kuniongezea imani kubwa katika kazi zetu.
Naomba kuendelea kuwaombea ushirikiano wenu ili mkiwa na nafasi, kazi au tenda yoyote, msisite kunifikiria. Nipo tayari kushirikiana kwa uaminifu, weledi na bidii kubwa katika kazi yoyote nitakayopewa.
Msaada wenu ni wa thamani kubwa kwangu, na naamini kwa pamoja tunaweza kufanikisha mambo makubwa zaidi.
Asanteni sana kwa upendo na sapo
ti yenu.
Ashukuliwe Kalaga Baho NongwaNdugu zangu wapendwa,
Ninapenda kutoa shukrani za dhati kwenu kwa sapoti na msaada wenu mkubwa mlionipa hadi kufanikisha kupata tenda ya Tigo YAS ya kubandika mabango. Ingawa tenda hiyo imeisha, imenifungulia njia na kuniongezea imani kubwa katika kazi zetu.
Naomba kuendelea kuwaombea ushirikiano wenu ili mkiwa na nafasi, kazi au tenda yoyote, msisite kunifikiria. Nipo tayari kushirikiana kwa uaminifu, weledi na bidii kubwa katika kazi yoyote nitakayopewa.
Msaada wenu ni wa thamani kubwa kwangu, na naamini kwa pamoja tunaweza kufanikisha mambo makubwa zaidi.
Asanteni sana kwa upendo na sapo
ti yenu.
Wanafanya vibayaView attachment 3445277
Hii ni zuluma mmewafanyia madogo
wa tz kwa kuzulumiana hatujamboWalipeni vijana hela zao. Mmewatembeza siku nzima bila posho ya chakula wala nauli halafu stahiki zao hamuwalipi. Hiyo ni zuluma kubwa sana mmefanya. Halafu hata aibu hauoni. Haya ni baadhi ya malalamiko ambayo nimekua nikitumiwa PMView attachment 3445274View attachment 3445275
Hii I'd ni ya kalaga baho maskini pole ndugu yanguWalipeni vijana hela zao. Mmewatembeza siku nzima bila posho ya chakula wala nauli halafu stahiki zao hamuwalipi. Hiyo ni zuluma kubwa sana mmefanya. Halafu hata aibu hauoni. Haya ni baadhi ya malalamiko ambayo nimekua nikitumiwa PMView attachment 3445274View attachment 3445275
tenda 1 mtu anataka amalize matatizo yake yote nyumba ,gari, michepuko na ndio maana wanakuwa weziWanafanya vibaya
Kama kafanya kazi alipwe, hayo mengine aachiwe mwenyewetenda 1 mtu anataka amalize matatizo yake yote nyumba ,gari, michepuko na ndio maana wanakuwa wezi
Huyo sii kalaga baha. Mimi ndio nilicoment kwenye post ya kalagabaha kumwambia kuna madogo mtaani kwangu wanalalamika hawajalipwa, ndipo baadhi ya madogo hapa jf baada ya kuona comments zangu wakaniletea malalamiko PM kwamba na wao hawajalipwaHii I'd ni ya kalaga baho maskini pole ndugu yangu
Once the food got finished on the plate, they called it: Dirty plateDuh,
Jamaa amemaliza kazi na anashukuru kabisa kwa tenda kumbe kuna watenda kazi amewatapeli !!
Kaka mimi sio mwajiri mim mwenyew nimmojawapo ambaye nilipata hio tenda , na pia sijapewa pesa zangu za mwisho ila na shukuru tu kwa kile nilicho kipata , ukifatilia post zangu za nyuma utaona nilikuwa naomba kazi mtu akaamua kunipa huo mchongo wa yasView attachment 3445277
Hii ni zuluma mmewafanyia madogo
Kaka mimi sio mwajiri mim mwenyew nimmojawapo ambaye nilipata hio tenda , na pia sijapewa pesa zangu za mwisho ila na shukuru tu kwa kile nilicho kipata , ukifatilia post zangu za nyuma utaona nilikuwa naomba kazi mtu akaamua kunipa huo mchongoView attachment 3445277
Hii ni zuluma mmewafanyia madogo
Sababu ya kujitetea haiwezi kukosekana. Kinachohitajika ni madogo kulipwa stahiki zao, sio maelezo.Kaka mimi sio mwajiri mim mwenyew nimmojawapo ambaye nilipata hio tenda , na pia sijapewa pesa zangu za mwisho ila na shukuru tu kwa kile nilicho kipata , ukifatilia post zangu za nyuma utaona nilikuwa naomba kazi mtu akaamua kunipa huo mchongo
Mbona umemkomalia mkuu? Huyu ndo inabidi awalipe eeh?Sababu ya kujitetea haiwezi kukosekana. Kinachohitajika ni madogo kulipwa stahiki zao, sio maelezo.