Punguza matumzi ya K na yapesa yatapungua. Pesa nyingi Inatumika Kufanyia marekebisho na maboresho K ili kuhakikisha inabaki katika STANDARD nzuri, hata baada ya UHARIBIFU endelevu unaoufanya. (Samahani lakini Mambo ya Walimwengu)
Mmh kwa maana hiyo mnauza K??
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hatuuzi ILA USTAARABU KWENYE UTUMIZI WA MALI ZA UMMA NI MUHIMU!!!!!!!! We umeikuta katika hali nzuri na sio wa kwanza kuitumia, na kama unajua hutoiweka ndani, wapitia tu baasi hakikisha WAITUNZA na kuifanyia renovation za mara kwa mara ili Wenzio wakija kutumia waikute katika hali na ubora wa kuridhisha!!!!
Of coz nampenda sana my girl friend but ana matumizi makubwa sana ya pesa na mengine siyo ya muhim sana na ukizingatia mimi kijana najijenga bado. Naomba ushauri wenu ,je nimnyime au nifanyeje?
Of coz nampenda sana my girl friend but ana matumizi makubwa sana ya pesa na mengine siyo ya muhim sana na ukizingatia mimi kijanan najijenga bado. Naomba ushauri wenu ,je nimnyime au nifanyeje?
Let me tell you ,women loves money kama Mtu anakuambia wanawake hatupendi pesa atakudanganya.ndio maana women cheat and they brag.women needs to shop dress up and look good and drive a nice car and eat nice organic food .Gym palate spar hayo yote ni mahitaji ya mwanamke.lazy broke stingy men is a problem need to be fixed. Money is important honey mwanaume asiyekuwa na pesa is very stressful promise less na mwanamke gani wants a useless men like that .Mwanaume pesa babu
Of coz nampenda sana my girl friend but ana matumizi makubwa sana ya pesa na mengine siyo ya muhim sana na ukizingatia mimi kijanan najijenga bado. Naomba ushauri wenu ,je nimnyime au nifanyeje?
Punguza matumzi ya K na yapesa yatapungua. Pesa nyingi Inatumika Kufanyia marekebisho na maboresho K ili kuhakikisha inabaki katika STANDARD nzuri, hata baada ya UHARIBIFU endelevu unaoufanya. (Samahani lakini Mambo ya Walimwengu)
Let me tell you ,women loves money kama Mtu anakuambia wanawake hatupendi pesa atakudanganya.ndio maana women cheat and they brag.women needs to shop dress up and look good and drive a nice car and eat nice organic food .Gym palate spar hayo yote ni mahitaji ya mwanamke.lazy broke stingy men is a problem need to be fixed. Money is important honey mwanaume asiyekuwa na pesa is very stressful promise less na mwanamke gani wants a useless men like that .Mwanaume pesa babu
Suluhu ni kukaa naye chini na kumueleza ukweli na hali halisi!
Usiumie wakati una uwezo wa kutatua tatizo!
2012 hivi kuna mwanamke anataka mwanaume asiyePunguza matumzi ya K na yapesa yatapungua. Pesa nyingi Inatumika Kufanyia marekebisho na maboresho K ili kuhakikisha inabaki katika STANDARD nzuri, hata baada ya UHARIBIFU endelevu unaoufanya. (Samahani lakini Mambo ya Walimwengu)