Matumizi ya umeme na betri katika Laptop

KIDOLEGUMBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
498
Reaction score
110
habari wakuu, naomba kufahamishwa kama ni kweli utaua betri la laptop mapema iwapo utatumia laptop kwa kuunganisha kwenye umeme wakati huo huo betri la hiyo laptop limejaa asilimia 100 ?
 
Kweli

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Battery zina micro controller pamoja na charge controller iliyopo kwenye laptop charging unit. Zote zinafanya kazi ya kulinda battery. Swala la kuchomoa power kila mara laptop ikijaa haliwezekani kwa umeme wa kibongo. Yaani hapo laptop inapofikia 10% umeme unakatika. Unaahirisha kazi
 
true that... yani pc iko smart enough kujua namna ya kustablelize battery power consuming,mfano hai ni kuwa nina acer kuanzia form 5 na mpaka sasa mwaka wa pili chuo naichomeka kwenye umeme every tym labda umeme ukikatika au niwe sehemu ambayo haina umeme ndio natumia kawaaida bila kucharge na mpaka leo inakaa na power for about 2 hours na hadi 1 hour ukicheck movie.,. this is a fact,. na kuna mshkaji wangu alielezwa iyo kitu akawa anachomoa betri juzi tu na pc mpya sasa betri yake inakaa na charge 20 mins tu,., iache pc kama ilivyo tuache kuzusha yasiyo ya kweli, laptops sio simu.,.kama ingekuwa hivyo basi ingeandikwa hadi kwenye user manuals za laptop,.,true fact
 
That's true
 
Back
Top Bottom