wanawake ndio wanaongoza ktika hili, pamoja na wanaume masharobaro. tena mkono wa kushoto. huwa najiuliza, akienda kutita, akijitawadha si mimavi inabakia mle kwenye ukucha na akitoka pale moja kwa moja jikoni kushika vyakula.
kitu cha ajabu ni kwamba huwa wanajitumbukiza hadi kwenye shimbo la memory card na ajabu Mungu alivyoumba hata hachubuki kwasbabu kuna mtelezo, cha kujiuliza si mautoko yale yanabakia mle kwenye kucha, akitoka hapo moja kwa moja jikoni pengine hajanawa mikono na hata akinawa bado uchafu unabaki kwenye kucha. mtu kama huyo mi huwa naona mchafu.
wewe unayesema ni wa kusugulia kisimi, sina usemi kwasababu mimi ni mwanaume sina kisimi....ninyi wanawake ndio mnajua. ila kusema ukweli ni uchafu wa hali ya juu. mwanamke mwenye mikucha mimi huwa simchukui na vitu vyake akinipa huwa navishika kwa kinyaa kwasababu nahisi nimeshika kinyesi chake tu. au mkienda chooni huwa hamtawadhi mnarudi na nnya masaburini?