Seeder utawaona kwenye website husika ya kudownloadia torrent, mara nyingi idadi yake inakuwa kwa rangi ya kijani.
View attachment 1646336
Na namna ya kuitumia unaingia website ya kudownloadia torrent unasearch unachotaka kisha click kialama cha sumaku kudownload automatic itaanza kudownload kwenye u torrent yako.
View attachment 1646338
Website tumia hii
Browse last 24 hours most downloaded movies torrents.