Mwaka 2000, karibu theluthi tatu ya watu duniani walio na umri wa
Chanzo: DW Swahili
Dah...ana maana 3 x β [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni mimi sijui hesabu ama nini..?
consult google mkuu.
haahhahaDah...ana maana 3 x β [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Beretta ARX 160
π π π π aiseeDah...ana maana 3 x β [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Beretta ARX 160
Matumizi ya tumbaku miongoni mwa wanaume yameanza kupungua kwa mara ya kwanza, kulingana na ripoti ya kila mwaka ya shirika la afya duniani WHO.
Idadi ya wawanake wanaotumia tumbaku ilipungua kwa karibu milioni 100 kati ya mwaka 2000 hadi 2018. Hata hivyo, wanawake wameendelea kupunguza matumizi ya uraibu wa Nikotini ukilinganisha na wanaume.
Mwaka 2000, karibu theluthi tatu ya watu duniani walio na umri wa miaka 15 na zaidi walikuwa wakitumia tumbaku, sigara na bidhaa nyingine za tumbaku. Kwa ujumla idadi ya watumiaji tumbaku imepungua duniani kote, kutokana na serikali kuwa na sheria kali dhidi ya uraibu huo.
Kila mwaka watu zaidi ya milioni nane hupoteza maisha kutokana na athari za tumbaku ikiwemo watu milioni 1.2 ambao si wavutaji lakini wakiathirika na moshi wa wavutaji. Mataifa yaliyo na kiwango kikubwa cha uvutaji tumbaku ni yale ya Kusini mwa Asia Mashariki.
Chanzo: DW Swahili