MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
lakiii unajua kuna mbinu mpya imegundulika namna ya kuiblock simu yako unapolala kwa CALL BARRING!ukiweka hiyo unamuachia simu wife hata siku mbili haiiti,wala sms haiingii lakini inatoa tu
vipi niiweke hadharani..........?
OKAY OKAY!....Please! ASAP! Na senksi nshakugongea kule!
OKAY OKAY!....
chukua simu yako moja then dial namba ifuatayo
*35*0000#
halafu jaribu kuibip simu yako uone kitakachotokea
Mwanamke anapotembea barabarani anatamaniwa kila siku, hali kadhalika mwanaume! So uwe umeolewa ama umeoa utatogozwa tu ili mradi unavutia ama unataka kuchunwa! Na hata usipotoa namba yako ya simu itatafutwa hadi itapatikana tu. Mara usiku uko na wife/hubby wako unastukia mvua za meseji, tena mwingine akigundua una mwenza anatuma messeji as if mlikuwa wote muda mchache ulopita! Mfano:
"Nimependa sana jinsi ulivyo sweet, thanks for that, its me Vannesa"
Mwenzio akiona hivyo ni ugomvi kwa kwenda mbele, kumbe maskini ya Mungu hata kiumbe mtuma meseji hujawahi kutana nae!!!!!!!!!
Sasa wewe Carmel will you be conviced by your hubby ukiikuta hiyo meseji? Dawa kupiga pini kama Cousin anavyofanya!
nigongee senksi mama,ili nikufundishe kuiondoa adhawaisi itakula kwako!...😀AKSANTE na kuiondoa ?
Mwanamke anapotembea barabarani anatamaniwa kila siku, hali kadhalika mwanaume! So uwe umeolewa ama umeoa utatogozwa tu ili mradi unavutia ama unataka kuchunwa! Na hata usipotoa namba yako ya simu itatafutwa hadi itapatikana tu. Mara usiku uko na wife/hubby wako unastukia mvua za meseji, tena mwingine akigundua una mwenza anatuma messeji as if mlikuwa wote muda mchache ulopita! Mfano:
"Nimependa sana jinsi ulivyo sweet, thanks for that, its me Vannesa"
Mwenzio akiona hivyo ni ugomvi kwa kwenda mbele, kumbe maskini ya Mungu hata kiumbe mtuma meseji hujawahi kutana nae!!!!!!!!!
Sasa wewe Carmel will you be conviced by your hubby ukiikuta hiyo meseji? Dawa kupiga pini kama Cousin anavyofanya!
Jamaa yangu waifu wake alifuma msg inasomeka hivi: D huwa tunamegana sana, ila leo hatujamegana ila umenimega. K. inawaka moto hata kukojo.a naogopa! Mwisho wa kunukuu! Ndoa ilisuluhishwa na wazazi baada ya miaka miwili! Sasa ili kukwepa hayo, simu inapigwa pin la kufa mtu. Na hakuna wa kunikonvisi adhawaiz!
...!😀😀Jamaa yangu waifu wake alifuma msg inasomeka hivi: D huwa tunamegana sana, ila leo hatujamegana ila umenimega. K. inawaka moto hata kukojo.a naogopa! Mwisho wa kunukuu! Ndoa ilisuluhishwa na wazazi baada ya miaka miwili! Sasa ili kukwepa hayo, simu inapigwa pin la kufa mtu. Na hakuna wa kunikonvisi adhawaiz!
OKAY OKAY!....
chukua simu yako moja then dial namba ifuatayo
halafu jaribu kuibip simu yako uone kitakachotokea
Sasa hii si inadhihirisha kuwa si waaminifu? Je na wife ukikuta siku moja kaamua kupiga pin ya kwake pia utasemaje?
hehehe!I am conviced kwamba hubby wangu hanicheat, hiyo hajaanza na siku akianza nitajua, lakini hiyo haimaanishi kwamba hatamaniwi na wadada. najua wapo wanaomtamani na kumtaka kwa different reasons, naona msg zao kwake na hiyo hainipi pressure coz am in control so far. I dont react kijinga nikikutana na msg ya aina hiyo, maana najua kama nilivyowahi kusema hapa, a man or woman needs space of his/her own to have friends lakini cha kumonitor ni communication ya aina gani wanayofanya. Ukiona mipaka inavukwa hapo unakumbushia tu kuwa vp hapa mbona mnaenda mbali (but i gues tyhis is applicable kwa wanaume ambao si vicheche😉 so to be safe, dont try this at home).
Kesi itaamuliwa kwa mshenga!
mpwaaz ukiipiga hiyo hakuna cha msg wala simu inaingia!hii ni komesha kwa wanawake wanaopenda kuperruzz simu za vidume!....unaweka hiyo unampasimu akae nayo wiki tatuUmeiona senksi pale? Sasa namna ya kuitoa? Na msg inakuwaje? Angalizo: Unanidai taska kreti moja kwa kuiokoa ndoa yangu kirahisi namna hii!
OKAY OKAY!....
chukua simu yako moja then dial namba ifuatayo
halafu jaribu kuibip simu yako uone kitakachotokea
OKAY OKAY!....
chukua simu yako moja then dial namba ifuatayo
halafu jaribu kuibip simu yako uone kitakachotokea
You were a very good wife mwanajamii, na hapa ndo naamini kuwa kwenye miti ndo panakosa wajenzi na kwamba sikio la kufa halisikii dawa.Mimi hizi topic za namna hii huwa sipendi kuchangia zinanikumbushiaga machungu.
Wangu alikuwa ni yule wa YAKE YAKE YANGU YAKE. Nikitoka kazini tu anaponipick anachukua simu yangu na kuiweka mfukoni kwake ndo huipati hadi kesho anapokushusha ofcn asubuhi. Akifika nyumbani anaikaguaaaaaa na maswali anayatunga mbona hii hapa missed call haina jina ni nani? Mwambie ni mtu alinibeep simjui ni kosa unamjua na ndo mana hujasave jina yaani ni kwesi. But ya kwake kwanza ina pin code kama nne kisha kila aingiapo ****** yuko nayo yaani hadi akilala anaiweka chini ya mto wake ah!! Bahati yake sikuwaga na tabia ya ugomvi.
hehehehe!mie bwana cjui hata ni kwanini cpendi/ctaki kushika cmu yake hata kidunchu, cjui ni kwanini roho hainipi hata kusema hebu leo chungulia, lakini ya kwangu ni kama yake, anahangaikaga na fone yangu kiama, nakumbuka kuna cku alisahau fone home mie bado cjatoka kwenda job, fone iliitaaa wee mie naitazama tu kumbe ni yeye alikuwa anacal nimpitishie fone ofcn mie nilijiendea job na kuiacha hapo hapo....ugomvi wake jioni ile ulikuwa balaa.
mpwaaz ukiipiga hiyo hakuna cha msg wala simu inaingia!hii ni komesha kwa wanawake wanaopenda kuperruzz simu za vidume!....unaweka hiyo unampasimu akae nayo wiki tatu
kuitoa ni quote]
Leo utakula senksi nyingi sana! Sasa fanza hivi: Delete posti zako hizi zenye hii twisheni. Bimkubwa hachelewi kuwa anapitia humu! Chondechonde!