MATUMIZI YA SIM CARD SLOT KWENYE LAPTOP

MATUMIZI YA SIM CARD SLOT KWENYE LAPTOP

Gola Magola

Member
Joined
Jul 16, 2016
Posts
13
Reaction score
16
Habari wana JF, napenda kujuzwa jambo hili la jinsi ya kutumia hio sim card slot kwenye laptop, maana laptop nyingi zinakuja na hio slot na wengi wetu kama mimi hatujui jinsi ya kuzitumia.
mwenye kujua tafadhari nijuze.

asante.
 
Habari wana JF, napenkiujuzwa jambo hili la jinsi ya kutumia hio sim card slot kwenye laptop, maana laptop nyingi zinakuja na hio slot na wengi wetu kama mimi hatujui jinsi ya kuzitumia.
mwenye kujua tafadhari nijuze.

asante.
Hiyo slot ni kwa ajili ya built in modem ambayo ili ifanye kazi unatakiwa kuwa umeinstall drivers zote za hiyo built in modem na pia umeinstall softwate ya cuconnect ili uitumie kama modem ili upate internet na huduma zingine za simu kulindanaa na software ya kuunganishia utakayo weka .kuna baadhi ya laptops ipo peupe tu kama dell D620 ukitoa buttery tu nyuma utaiona na hiyo ndio kazi yake ,
 
hapo yakupasa kuingiza hiyo sim card halaf download app inayosapoti hiyo huduma then run songa mbele.
driver pia zinahitajika. ukiweka hiyo laini peke yake pila vitu tajwa hapo haitafanya kazi wala ku detect
 
Back
Top Bottom