MATUMIZI YA SHERIA.

Akimuz

Senior Member
Joined
Apr 6, 2016
Posts
106
Reaction score
92
Habari wana JF, msaada wenu wa kimawazo katika hii taaluma ya SHERIA. Ni kwamba, Police ana andaliwa kulinda usalama wa Raia na mali zake, Mwalimu kutoa duhuma ya Ufundishaji/Ualimu, Daktari wa binadamu kutoa huduma ya matibabu, Mwasibu kutoa huduma za kiuhasibu, Ugani wa kilimo kutoa huduma za kilimo n.k NA HAO WATU TAJWA HAPO JUU WAMEANDALIWA KUFANYA KAZI HIZO NA WANAZIFANYA-WAKIFANYA KINYUME NA TARATIBU WANAWAJIBISHWA KISHERIA. Sasa hawa ndugu zetu wanasheria pamoja na kutoa huduma za kisheria, inakuwaje mtu mfano kafuja mali za Umma au kabaka au Kaua lakini huyu mwanasheria aliye andaliwa anamtetea mtu kama huyu mtenda maovu. KWA NINI ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…