Mkono mrefu ina maana kama ifuatavyo,serikali ina mkono mrefu maana yake ni kwamba SERIKALI IPO KILA SEHEMU NA INAUWEZO WA KUMFIKIA YEYOTE YULE MAHALA POPOTE PALE, na hii ya Juma ana mkono mrefu ina maana 2 tofauti,kuna mkono mrefu ikimaanisha WIZI,na maofisini wanalitumia kumaanisha RUSHWA