Matumizi ya mkaa

Matumizi ya mkaa

RIGHTSON

Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
7
Reaction score
0
Dsm pekee inatumia magunia zaidi ya 200,000 ya mkaa kwa siku, ambapo misitu zaidi ya ekari 400,000 hukatwa kwa mwaka. Je malengo ya kupunguza matumiz ya mkaa hadi kufikia mwaka 2020 angalao misitu ikatwe mpk ekar 200,000 yatatimia???
 
Utafikia wangapi huyo gesi??? Na je bei yake itakuwaje
 
Back
Top Bottom