Matumizi ya Lowassa yanatisha!


Anawazungukaje sasa kama.sio uelewa mdogo, hahahaha, kwanza una uhakika na unachokiongea?
 

Ujinga wako ndo umaskini wako.....umekaa chini unaandika yasiokua na akili...sasa unaanzisha vita na matajir ambao sidhan kama unawapata hata kwa theluthi ya pesa zao.....hebu kabla hujaandika na kupost kwanza fikiria...
 
Wewe kama humtaki lowasa unahangaika na nin? si usubiri uchaguzi uje kupiga kura unakotaka? acha ushabiki maandazi wewe...coz umesikia kila mtu lowasa ndo hata wewe uone una uhuru wa kuropoka

Na kama Lowassa anatakiwa na watanzania kwanini anahangaika kutumia magharama yote hayo na kununua publicity ili kutuconfuse akili zetu?

Tunahamasisha watu wajue adui yao na wazifaham hadaa zenu
 

kwa hiyo hii nchi hivi sasa ukiwa tajiri basi wewe ni fisadi?!

Endeleeni hivyo hivyo kukumbatia umaskini mkiona ni sifa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…