Mkuu kwa wale wanaoshindwa kuvumilia kutokufanya wajitahid kujikingaBora nisifanye kabisa kuliko kuvalishwa mipira.
will you?Mkuu kwa wale wanaoshindwa kuvumilia kutokufanya wajitahid kujikinga
Nafanya bila kujikinga, ila sibadilishi wanawake. Wale ambao kazi yao ni kubadilisha wapenzi nawashauri wasiache kutumia kinga.Mkuu kwa wale wanaoshindwa kuvumilia kutokufanya wajitahid kujikinga
Ndiowill you?
pole sanaAcheni zinaa jamani
Kweli kuna watu daily ana mpenzi mpya yeye ni kuamsha dude tuu kinga haipo kichwani kabisa kama vile hajawahi kuisikiaNafanya bila kujikinga, ila sibadilishi wanawake. Wale ambao kazi yao ni kubadilisha wapenzi nawashauri wasiache kutumia kinga.
Kwahiyo mkuu mizimu yako hairuhusu kinga?Mimi sijawahi kuvaa hizo mambo
Hii ni kali kaka kwahiyo hujawahi hata kutamani kuijua?
Kwahiyo mkuu mizimu yako hairuhusu kinga?
Hujue kila kitu kimetengewa budget yake huwez hamisha budget kama pipi kuna milolongo ya kufuataNajua mkuu lkn nchi inao uwezo huo wa kuendeleza kampeni hii ni hatari sana kwa vijana wanaokua sasa hivi hawapati elimu sahihi kuhusu maambukizi
Daah ikiwa hivyo tz itabadilika sana itakuwa safi tunaweza kuongoza kabisa kwa uchumi bora afrika
nakuuliza kama utareply pm zangu..Ndio
Ww unaongelea matumizi? Kuna wengine hata bei ya huzo kinga hawazijui wao ni kavu kavu cku zoteHabari za jioni wadau wa jukwaa hili poleni na majukumu ya kila siku. Mwenzenu nina swali lenye ukaka kidogo ambalo wengi hawapendi hata kulisikia lkn ni wajibu tukumbushane kutokana na hali ilivyo swali liko hivi!! Hivi matumizi ya kinga bado yapo au ndio kuchenjuana tuu? Maana naona hata matangazo ya kinga hakuna tena na maambukizi ya ukimwi yanapamba kasi hali ni hatari watu hatujali kabisa ndio nauliza na zile kampeni zingine za kuzuia UKIMWI ziliishia wapi? Kizaz kinaangamia kwa kukosa maadili jamani