issakwisssa Member Joined Dec 13, 2016 Posts 66 Reaction score 124 Apr 26, 2017 #1 Habarini wana jf Kwanza kabisa ni mshukuru mungu kwa mambo mengi anayotujalia na kutulinda na mambaya Wandugu naombeni mwenye ufahamu wa matumizi ya hizi mbolea anielekeze Akizingatia sana nalima matikiti Mbolea ya kwanza ni Npk Na nyengine ni yulea
Habarini wana jf Kwanza kabisa ni mshukuru mungu kwa mambo mengi anayotujalia na kutulinda na mambaya Wandugu naombeni mwenye ufahamu wa matumizi ya hizi mbolea anielekeze Akizingatia sana nalima matikiti Mbolea ya kwanza ni Npk Na nyengine ni yulea
P Promenthous JF-Expert Member Joined Apr 2, 2013 Posts 353 Reaction score 432 Apr 26, 2017 #2 Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi?? Karibu tushauriane
C Cosmas simbak New Member Joined Jul 31, 2018 Posts 2 Reaction score 0 Jul 31, 2018 #3 Nisaidieni nimelima matikiti nimekosa mbolea ya can ili tunda liwe kubwa .mbolea gani nyingine ninunue ?
Nisaidieni nimelima matikiti nimekosa mbolea ya can ili tunda liwe kubwa .mbolea gani nyingine ninunue ?