Matumizi ya Gb WhassApp

Matumizi ya Gb WhassApp

Mwami Ntale

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
1,022
Reaction score
2,742
Wapendwa habari?

Mimi si muandishi mzuri ila naomba uvumilivu wenu na msaada kuhusu Gb WhassApp.Hoja ni kwamba hivi karibuni mke wangu alibadilisha app yake na kuweka Gb WhatsApp.Siku za nyuma niliwahi kumdukua kupitia WhatsApp web nikabaini watongozaji na aliokuwa anachati nao.Jambo hilo lilimfanya ataharuki mno .

Sasa hoja yangu ni kuwa ,je Gb WhatsApp inawezaje kumsaidia mtu kukwepa udukuaji ukilinganisha na ile app ya kawaida?
 
Hahahahaha. Natamani nikupe Siri Ila ili nisiwasaliti watumiaji wengine njoo PM nikuelekeze uguse sehemu gani ili kujua Kama kuna kitu anakuficha. Ila tu siku ukifanya hivyo utakutana na password na hakikisha unambana mpaka akufungulie. Ukimpa nafasi tu atafuta kila kitu
 
Zaidi gb wsp inaingilia falagha za watu zinazohusu kushare private zao
Mfano n kuchukua picture zao bila idhini yao
Mengine yoote ni kama ya huku tu
Asante,vipi kuhusu kuficha mawasiliano ikilinganishwa na hii app ya kawaida?
 
Wapendwa habari?Mimi si muandishi mzuri ila naomba uvumilivu wenu na msaada kuhusu Gb WhassApp.Hoja ni kwamba hivi karibuni mke wangu alibadilisha app yake na kuweka Gb WhatsApp.Siku za nyuma niliwahi kumdukua kupitia WhatsApp web nikabaini watongozaji na aliokuwa anachati nao.Jambo hilo lilimfanya ataharuki mno .Sasa hoja yangu ni kuwa ,je Gb WhatsApp inawezaje kumsaidia mtu kukwepa udukuaji ukilinganisha na ile app ya kawaida?
Mkuu hili liliwezekanaje. Sio kwamba uki connect WhatsApp web na WhatsApp ya kawaida huwa kunakua na ka notification fulani pale kwenye simu ambapo mdukuliwaji ni rahisi kugundua?
 
Hahahahaha. Natamani nikupe Siri Ila ili nisiwasaliti watumiaji wengine njoo PM nikuelekeze uguse sehemu gani ili kujua Kama kuna kitu anakuficha. Ila tu siku ukifanya hivyo utakutana na password na hakikisha unambana mpaka akufungulie. Ukimpa nafasi tu atafuta kila kitu
Hiki ndicho natafuta mkuu,nisaidie
 
Hahahahaha. Natamani nikupe Siri Ila ili nisiwasaliti watumiaji wengine njoo PM nikuelekeze uguse sehemu gani ili kujua Kama kuna kitu anakuficha. Ila tu siku ukifanya hivyo utakutana na password na hakikisha unambana mpaka akufungulie. Ukimpa nafasi tu atafuta kila kitu
Mwaga maujuzi hapa mkuu
 
Mwanga hapa ....... Hapa
 
Wapendwa habari?Mimi si muandishi mzuri ila naomba uvumilivu wenu na msaada kuhusu Gb WhassApp.Hoja ni kwamba hivi karibuni mke wangu alibadilisha app yake na kuweka Gb WhatsApp.Siku za nyuma niliwahi kumdukua kupitia WhatsApp web nikabaini watongozaji na aliokuwa anachati nao.Jambo hilo lilimfanya ataharuki mno .Sasa hoja yangu ni kuwa ,je Gb WhatsApp inawezaje kumsaidia mtu kukwepa udukuaji ukilinganisha na ile app ya kawaida?
GB ndio haiko secure zaidi kuliko official app ila ni vile ulitumia kuscan zile code. Sidhani kama anataka kuficha kitu ila anataka kupata features za ziada zilizopo uko. Kitu kingine hata wewe ukidukuliwa na baba au mama yako hautataka aendelee kuvamia privacy yako. Ukimdukua tena uwe tayari kumuacha au kumsamehe, usiwe kama wale wanaoenda kupima HIV kisha wakikutwa nayo wanakataa kutumia ARVs mpaka wabembelezwe ndio wanakubali wakati wanatakiwa kukata shauri kabla.
 
Mkuu hili liliwezekanaje. Sio kwamba uki connect WhatsApp web na WhatsApp ya kawaida huwa kunakua na ka notification fulani pale kwenye simu ambapo mdukuliwaji ni rahisi kugundua?
Iliwezekana mkuu hakujua kinachoendelea mpaka nilipomwaga mambo hadharani
 
GB ndio haiko secure zaidi kuliko official app ila ni vile ulitumia kuscan zile code. Sidhani kama anataka kuficha kitu ila anataka kupata features za ziada zilizopo uko. Kitu kingine hata wewe ukidukuliwa na baba au mama yako hautataka aendelee kuvamia privacy yako. Ukimdukua tena uwe tayari kumuacha au kumsamehe, usiwe kama wale wanaoenda kupima HIV kisha wakikutwa nayo wanakataa kutumia ARVs mpaka wabembelezwe ndio wanakubali wakati wanatakiwa kukata shauri kabla.
Asante nitazingatia ushauri huu.
 
Hahahahaha. Natamani nikupe Siri Ila ili nisiwasaliti watumiaji wengine njoo PM nikuelekeze uguse sehemu gani ili kujua Kama kuna kitu anakuficha. Ila tu siku ukifanya hivyo utakutana na password na hakikisha unambana mpaka akufungulie. Ukimpa nafasi tu atafuta kila kitu
Mwamba unauza ramani ase.... dah ushaniuwa mwanangu ntaambia nini watu mimi
 
Hahahahaha. Natamani nikupe Siri Ila ili nisiwasaliti watumiaji wengine njoo PM nikuelekeze uguse sehemu gani ili kujua Kama kuna kitu anakuficha. Ila tu siku ukifanya hivyo utakutana na password na hakikisha unambana mpaka akufungulie. Ukimpa nafasi tu atafuta kila kitu
Ahahahahaha....akikuta password pale juu, ajue kimeumana..!
 
Watumiaji wa gb whatsapp wanajiona sana.ukiweka status hatauifuteje lazima wainyake
 
Wapendwa habari?Mimi si muandishi mzuri ila naomba uvumilivu wenu na msaada kuhusu Gb WhassApp.Hoja ni kwamba hivi karibuni mke wangu alibadilisha app yake na kuweka Gb WhatsApp.Siku za nyuma niliwahi kumdukua kupitia WhatsApp web nikabaini watongozaji na aliokuwa anachati nao.Jambo hilo lilimfanya ataharuki mno .Sasa hoja yangu ni kuwa ,je Gb WhatsApp inawezaje kumsaidia mtu kukwepa udukuaji ukilinganisha na ile app ya kawaida?
Mkuu hawa wake waliosoma au wanaoenda makazini ni msiba mkubwa acha tuu mkuu. Unaweza kumeza dawa zingii sana ili ufee
 
Hahahahaha. Natamani nikupe Siri Ila ili nisiwasaliti watumiaji wengine njoo PM nikuelekeze uguse sehemu gani ili kujua Kama kuna kitu anakuficha. Ila tu siku ukifanya hivyo utakutana na password na hakikisha unambana mpaka akufungulie. Ukimpa nafasi tu atafuta kila kitu
Hii ya kuficha haisaidii mkuu
Juz ndio niligundua hili
Mm nilikua na hide chat ila daa nilijiona mjinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom