Matumizi ya condoms yasiyotarajiwa!

Matumizi ya condoms yasiyotarajiwa!

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
6,068
Reaction score
2,225
Ama kweli watanzania ni watu wa ajabu.
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni!

Tunajua condoms zimelenga kuzuia maambukizi ya magonjwa ya zinaa na pia kuzuia mimba zisizopangwa!

Kautafiti kadogo kalikofanywa na watoa huduma za afya katika mkoa flani kameonyesha kuwa kwa sasa watu hawaoni aibu kuchukua condoms kutoka katika vituo vinavyotoa condoms.

Kumbe kuna matumizi mapya ya condoms...

1.condoms hutumika sana na wang'arisha viatu (shoeshinners).yale mafuta yanang'arisha viatu balaa!

2.Pia condoms hasa hasa za kike zinatumika kama vibebeo au vifichio vya bidhaa haramu au za wizi kama vile madawa ya kulevya au madini yanayofichwa ukeni na sometimes kwenye Makalio.
 
duh, si mchezo watu ni wabunifu aisee!
 
Wabongo wabunifu kwa vitu ambavyo havina tija,tuache matumizi mabaya ya kondom
 
Hiyo No 2 ni ukweli kabisa Arusha. Wafanyakazi wa migodini Huwatumia wanawake kuwavushia madini yao waliyoiba kwa kuyaweka kwenye condom na kuingiza huko mbele. Baadaye doctor anayatoa analipwa chake
 
Je, anajua alichokifanya..jpg Je, anajua alichokifanya..jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom