Tabrett
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 521
- 338
Hutakiwi kujiogopa kama hufanyi tabia hatarishi badala yake jipongezeNajiogopa kwa moyo wangu mgumu tu
Hutakiwi kujiogopa kama hufanyi tabia hatarishi badala yake jipongezeNajiogopa kwa moyo wangu mgumu tu
Huo moyo wa chuma cha puaNajiogopa kwa moyo wangu mgumu tu
Hahahaha.. Ungekufa nyambaaafBwana!!!!!
Lakini nashukuru Toka januari 2015 Mpaka Leo nimechek Mara kadhaa Niko fresh kabisa bila hata Mafua
Nilipona mkuu.....Hahahaha.. Ungekufa nyambaaaf
Ww unatumia cndm?!Hutakiwi kujiogopa kama hufanyi tabia hatarishi badala yake jipongeze
Ninaallergy na yale mafuta yake...hapana situmiiWw unatumia cndm?!
Ninaallergy na yale mafuta yake...hapana situmii


sema naww unapenda nyama kwa nyamaHayo majibu yametoka kwako sio kwangu...ingawa kuna % fulan kaukwelisema naww unapenda nyama kwa nyama

Si nmekuona tuuuHayo majibu yametoka kwako sio kwangu...ingawa kuna % fulan kaukweli![]()
Yani tangu jana yule jamaa aliyeleta thread ya kuuliza kuhusu vidonge vya ARV watu wamepata woga wa ghafla


nna uhakika migegedo ilipungua leo!labda una blood group O+ (dont get me wring plz)Mm navyopiga dry mpk najiogopa huu moyo wa chuma nmeutoa wapi
Hujamsugua vizuriNi kweli, Mimi condomu ili niokoa mwaka 2015 Mwanzoni nili gonga Demu aliye nitesa toka O'level miaka ya 2006 hiv......! Alikuwa kanibania.
Baadaye nikapata Ajira nikaajiriwa mitaa yao. Nika Mkumbusha japo alikuwa kazalishwa sikujali. ...,...
Eeee bwana baada ya kugonga nikazipata kuwa ni mwathirika wa UKIMWI na alupewa na MWL wa primary na hata mtoto aliye naye ni Mwathirika!
Nikapiga moyo konde, nimepima Mara kadhaa na kuchangia DAMU SALAMA nimehakikishiwa Niko fresh.........!
CONDOM NI KWELI ZINA KINGA......