Matumizi ya barabara- nani yupo juu ya sheria?

kabindi

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
333
120
Huwa NACHUKIA na utanuaji barabarani na hasa unapojikuta umekaa kwenye QUE muda mrefu then unaona magari ya serikali na wakubwa yanapita njia ambazo haziruhusiwi bila kusimamishwa na wakati mwingine Askari uwaongoza watu kuvunja sheria za barabarani kwa kuwa wamepewa lift! ANGALIA HIZI ATTACHMENT ZA LEO ASUBUHI BARABARA YA KAWE-MBEZI CHINI karibia na keep-left ya CLOUDS FM
 

Attachments

  • 20110121282.jpg
    20110121282.jpg
    132.4 KB · Views: 58
  • 3-20110121287.jpg
    3-20110121287.jpg
    144.5 KB · Views: 65
  • 20110121283.jpg
    20110121283.jpg
    139.2 KB · Views: 58
  • 2-20110121286.jpg
    2-20110121286.jpg
    133.9 KB · Views: 67
  • 4-20110121288.jpg
    4-20110121288.jpg
    144.1 KB · Views: 61
  • 1-20110121284.jpg
    1-20110121284.jpg
    130.7 KB · Views: 46
utapata presha buree!:disapointed: jitahidi kuwahi kuondoka nyumbani.. no que hehe hehe:)
 
Back
Top Bottom