kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,687
Hakuna jambo lisilowezekana - labda hayo yalikuwa mawazo ya bwana. Amepakia magunia sita ya mkaa kwenye baiskeli yake. Mzigo huo una uzito wa karibu kilo 300. Hapo hakuna tena kuendesha, kinachobaki ni kuisukuma baiskeli. Amefunga kamba kwenye usukani ili aweze kuiongoza baiskeli yake vizuri.
Mkaa husafirishwa hadi umbali wa kilomita 100 kwa baiskeli.