Hii imetokea mkoa upi? Tunahitaji kwenda kutoa elimu sahihi ya matumizi ya njia hii ya kujikinga na ukimwi na siyo kutumia vikingio hivi kama mitego ya kuwindia .....
enzi zetu tukiwa shule tulikuwa tukicheza mipira iliyofumwa kwa manati, na sox ndio zilitumika hasa kujaza vitambaa kama hii taaluma ingeendelea hadi leo nadhani condom zingekuwa adimu sana