Kwahiyo mkuu, unafahamu fika kuwa kuna jamaa wanakusaidia kumla mkeo?upende mmoja je wengine wapendwe na nani?
huwa hawachungwi bali wanajichungaKwahiyo mkuu, unafahamu fika kuwa kuna jamaa wanakusaidia kumla mkeo?
Kwahiyo ule msemo wa abiria chunga mzigo wako, kwako hauna maana eeh?huwa hawachungwi bali wanajichunga
Mke sio mzigo.Kwahiyo ule msemo wa abiria chunga mzigo wako, kwako hauna maana eeh?
Inaonekana aliekuumiza ndio unampenda sana kuliko huyo spea tairi.Unaweza ukawa na wanaume hata kumi lakini katika hao kumi unakuta kuna mmoja ambae unampenda zaidi kuliko wengine.Kwahiyo hoja yako ya kuwa na wengi ndio kutakusaidia usiumizwe kwenye mapenzi binafsi napingana nayo.Nilichokigundua jana ndio hiki kumpenda mpenzi mmoja kwa moyo wako wote ni matumizi mabaya sana ya moyo. Jana nimeumizwa hatari lakini nashukuru Mungu nilikua na spear tairi ameniliwaza hadi nikasahau shida zangu. sishauri watu kumzimikia mtu mmoja ni hatari sana bora ukae mguu pande kwakweli
Beef lagna,ndyo umeamua kuja na Id mpy!!!!!!!Nilichokigundua jana ndio hiki kumpenda mpenzi mmoja kwa moyo wako wote ni matumizi mabaya sana ya moyo. Jana nimeumizwa hatari lakini nashukuru Mungu nilikua na spear tairi ameniliwaza hadi nikasahau shida zangu. sishauri watu kumzimikia mtu mmoja ni hatari sana bora ukae mguu pande kwakweli
siwezi hili jambo kupenda mwanaume mmoja ni hatari unaweza ufe bureUwe mwangalifu kuna nyakati nyingine ni bora kuwa na mmoja maumivu sio makali sana,itakuwaje kama inatokea wote uliona nao wanakuumiza kwa wakati mmoja? nadhani hapo ndio utakuwa umeutumia moyo wako vibaya sana ndugu...
Naunga mkono hoja yako ndugu mjumbeNilichokigundua jana ndio hiki kumpenda mpenzi mmoja kwa moyo wako wote ni matumizi mabaya sana ya moyo. Jana nimeumizwa hatari lakini nashukuru Mungu nilikua na spear tairi ameniliwaza hadi nikasahau shida zangu. sishauri watu kumzimikia mtu mmoja ni hatari sana bora ukae mguu pande kwakweli